Ni mtu gani kakiki zaidi mwaka 2017 Tanzania?

Ni mtu gani kakiki zaidi mwaka 2017 Tanzania?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Wapo wengi maarufu na wasio maarufu wamekiki sana tanzania mwaka 2017
Kwa mtazamo wako ni mtu gani anastahili kupewa tunzo ya kukikisha nchi mwaka huu?
kijamii
kisiasa
kimuziki
n.k.
Tirirka!
 
Mpeni Dr.Luis Shika, namba 2 apewe Gwajima, namba 3 apewe Makonda, wa 4 atakuwa Harmorapa
 
Kiukweli nadhani waliosema kila zama na mambo yake hawakukosea.
Kiukweli jamii forums ile iliyonihamasha hadi kujiunga nayo kwa sasa imepotea maana sio kwa threads hizi
 
Kiukweli nadhani waliosema kila zama na mambo yake hawakukosea.
Kiukweli jamii forums ile iliyonihamasha hadi kujiunga nayo kwa sasa imepotea maana sio kwa threads hizi
Mkuu wewe unataka mambo serious tu muda wote?
 
Hapana kiongozi na ndo mana nikaanza kwa kusema kila zama na mtume wake.
Lakini tukiri kwamba mambo yamebadilika
 
Orodha haijakamilika kama haijamtaja Jerry Muro.
 
Back
Top Bottom