American nigga JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 673 Reaction score 974 Nov 12, 2017 #1 i have reached the threshold on adsense Lakini bado sijajua njia ya kutoa pesa hizi au kinachoendelea nimeshaset Western union kama Primary way to get my Revenue ila bado hawajanitumia lolote!
i have reached the threshold on adsense Lakini bado sijajua njia ya kutoa pesa hizi au kinachoendelea nimeshaset Western union kama Primary way to get my Revenue ila bado hawajanitumia lolote!
A amidu Member Joined Mar 18, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Nov 28, 2017 #2 siku 21 baada ya mwezi ambayo umefikia threshold
A amidu Member Joined Mar 18, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Nov 28, 2017 #3 watakutumia link yenye risit ya kwenda kuchukulia hela western union