Ni muda gani inamchukua Mbwa kulijua jina lake?

Ni muda gani inamchukua Mbwa kulijua jina lake?

Varny Mk

Member
Joined
Oct 4, 2020
Posts
24
Reaction score
16
Nina mbwa wangu ni wa normal hayupo kwenye ukubwa wala udogo, lakini nikimuita jina nililompa anafanya shughuli zake kama hakusikii lakini ukimuita kwa "mluzi" anakuja.

Sasa sijajua ni kwa mda gani anaweza tambua jina lake🙏🙏🙏🙏
 
Hakuna kipindi ila usimuite kwa mluzi, mzoeshe toka umekuwa naye kumuita jina ulilompa then atakuwa akisikia anakuja.
 
Mbwa majina ya Kiswahili huwa inawapa ugumu kuelewa muite kwa majina ya kizungu hutajutia fasta tu
 
Tulikuwa na Mbwa tulimpa jina la "Ndugujembe" alikuwa mkali sana, kiasi kwamba anafunga njia. Bahati mbaya walimuua aisee!
 
Wangu anaitwa Lolo, analijua sana,

Endelea kumzoesha kumuita jina lake hadi atazoea kabisa.
 
Nina mbwa wangu ni wa normal hayupo kwenye ukubwa wala udogo, lakini nikimuita jina nililompa anafanya shughuli zake kama hakusikii lakini ukimuita kwa "mluzi" anakuja.

Sasa sijajua ni kwa mda gani anaweza tambua jina lake🙏🙏🙏🙏
Kama hupo Sengerema muite Shigongo atalielewa faster
 
Back
Top Bottom