Kama hupo Sengerema muite Shigongo atalielewa fasterNina mbwa wangu ni wa normal hayupo kwenye ukubwa wala udogo, lakini nikimuita jina nililompa anafanya shughuli zake kama hakusikii lakini ukimuita kwa "mluzi" anakuja.
Sasa sijajua ni kwa mda gani anaweza tambua jina lakeππππ
Vp mkuu..au unaogopa atakuwa mwizi mwiziMmmmmm--