Wadau,
Nilifanyiwa kipimo cha MRI mwezi wa July mwaka jana, bahati mbaya Daktari wangu akawa amesafiri kwa dharura, hivyo sikuweza kuonana nae.
Hivi majuzi amerejea na ninatakiwa kuonana nae, je, nitahitaji kufanya kipimo tena au majibu yale yatatoa picha kamili ya tatizo langu licha ya ukweli kwamba imepita miezi kama mitano tangu nilipofanya kipimo na huenda tatizo limeongezeka?
Msaada wenu wadau