Ni muda gani maximum ambao mtu anaweza kupimwa na kukutwa ana HIV?

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habarini JF,

Ni muda gani maximum ambao mtu anaweza kupimwa na kukutwa ana HIV?
 
We si ulisema umempata kimwana wa Kenya? Una wasiwasi hukutumia kinga au ulipima kiina cha maji kwa miguu yote ?
Habarini JF,
Ni muda gani maximum ambao mtu anaweza kupimwa na kukutwa ana HIV?
 
Daah sawa. bado mwezi mmoja nikapime. Asee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…