mwanzishie kumpa vyakula laini uji usiwe mzito sana, matunda ukiyasaga,
Napenda kukushauri uangalie mtandaoni weaning food sechi hivyo au around maneno hayo utapata majibu
Kuna kama babycentre website chagua UK inamaelezo mazuri sana topic zote za kuhusiana na watoto
Mie naona jirani aliwahi ila ndio hivyo tena kila mzazi anaamua vyake bali vizuri kuuliza as ndio kujifunza.
Au unaweza mchangania uji na maziwa wekeni uji na ukimlisha waweza mpa maji kidogo maana nao wanakuwa na kiu maji lazima uchemsha hata kama ya chupa si unajua tena kama upo sehemu maji ya bomba lazima uchemshe wakati woteeeee na kusubiri yapoe anywe au kutengeneza maziwa
HAYA ANAWEZA ENDELEA KUNYONYA ILA AS KWA SASA HASHIBI NA LAZIMA ATAKUWA HALALI VIZURI YAANI ANALALA KIDOGO NA KUAMKA. KWA HIYO ANZA KUMPA WEANING FOOD KUNYONYESHA HATA AKITAKA BAADA YA KULA MPENI
TENGENEZA CHAKULA NA MAZIWA YA KOPO AU YANAYOFAA
NIMEISHI NA DADA YANGU ULAYA WAKATI FULANI NIKAJIFUNZA KWA WANAE NILIBABY SIT PIA...
Uliza usaidiwe hope nimekusaidia