KYANYINIMARAIGA
Senior Member
- Oct 21, 2016
- 192
- 126
Naomba kuelimishwa njia nzuri ya kufuatilitia kiasi cha sukari ndani ya mwili.je unapima sukari baada ya kumeza dawa?au unapima kabla.?na je ni kipimo kipi kinakupa uhakika wa jinsi sukari yako inavyocheza mwilini.ni kipimo kabla ya kula?au ni kipimo baada ya kula na pia baada ya kumeza dawa?