KYANYINIMARAIGA
Senior Member
- Oct 21, 2016
- 192
- 126
Pima kabla ya kula asubuhi na baada ya kula[/QUOTE.ahsante.Ila bado nahisi ulinganisho utakuwa na tofauti.
check afya kila unapo hona mabadiliko,sio mpaka siku umelazwa ngo wajue una umwa niniNaomba kuelimishwa njia nzuri ya kufuatilitia kiasi cha sukari ndani ya mwili.je unapima sukari baada ya kumeza dawa?au unapima kabla.?na je ni kipimo kipi kinakupa uhakika wa jinsi sukari yako inavyocheza mwilini.ni kipimo kabla ya kula?au ni kipimo baada ya kula na pia baada ya kumeza dawa?
Hii ni sawa kabisa.Swali langu ni ku monitor trend ya Blood glucose na timing za kufanya vipimo.check afya kila unapo hona mabadiliko,sio mpaka siku umelazwa ngo wajue una umwa nini
vipo vifaa na smartwatch za medical.zina weza kucheki mda woteHii ni sawa kabisa.Swali langu ni ku monitor trend ya Blood glucose na timing za kufanya vipimo.
Nashukuru niko 64 mazoezi uwanja wa magereza kila siku.Tatizo nilitaka tupeane elimu tuweze kujua ni vipi tunaweza kufuatilia vipimo vya sukari miilini mwetu.pamoja na mazoezi na ulaji unaofaa ,mgonjwa wa sukari anahitaji kupima sukari mara kwa mara na hasa masaa mawili baada ya chakula.changamoto yangu ni pale ambapo napima sukari baada ya kumeza dawa .km nimeamka asubuhi nimepima nimeona ni 5.4 fine nnameza dawa kama Dr alivyoshauri napata breakfast inayojumuisha tunda kama nanasi.baada ya saa 2 napima nakuta labda sukari ipo 13.na baada ya saa6 napima ipo 7.7.je hiyo ni effect ya dawa au insulinMkuu kama umri bado ni kijana nakushauri uanze mazoezi hata kama umri ni above 50 mazoezi mazoezi....... Toa Sumu mwilini fanya mazoezi ya viungo kimbia walau dakika 15 Kila siku akikisha jasho linakutoka
Nimekusoma mzazi heshima kwako..... Mm bado kijana Nipo early 30 sijawai kupima kabisa sukari Lakin uwa ninafanya mazoezi kabla YA kwenda kazini asubuhi.... Kwa Hiyo ninaweza kusema sina utaalam na vipimo vya sukari... Ila ninapenda kukushauri kama unao vijana wahimize waanze kujizoesha kufanya mazoezi kulea vitambi sio ufahari ndio maana kwa Sasa afrika inaongoza kwa magonjwa YA BP na sukari kuanzia umri wa Miaka 40Nashukuru niko 64 mazoezi uwanja wa magereza kila siku.Tatizo nilitaka tupeane elimu tuweze kujua ni vipi tunaweza kufuatilia vipimo vya sukari miilini mwetu.pamoja na mazoezi na ulaji unaofaa ,mgonjwa wa sukari anahitaji kupima sukari mara kwa mara na hasa masaa mawili baada ya chakula.changamoto yangu ni pale ambapo napima sukari baada ya kumeza dawa .km nimeamka asubuhi nimepima nimeona ni 5.4 fine nnameza dawa kama Dr alivyoshauri napata breakfast inayojumuisha tunda kama nanasi.baada ya saa 2 napima nakuta labda sukari ipo 13.na baada ya saa6 napima ipo 7.7.je hiyo ni effect ya dawa au insulin