Ok asante sana mkuu,ila ni ndani ya miez sita ya mwanzo kama nimeelewa vizuri.sasa nipo direct je baada ya kumaliza siku 40 za uzazi na yale majimaji kuisha kabisa kuna uwezekano wa mimba kuingia katika masiku hayo.yaani hyo miez sita ya mwanzo inahesabika kuanzia siku ya ngapi?asanteMama hatapata mimba miezi sita ya mwanzoni endapo atamnyonyesha mtoto vizuri(kitaalamu tunasema wakt wa kunyonyesha hormone ya prolactin ndo inazalishwa na inainhibit progestérone na Oestrogène ambz humpa mwanamk hedhi so hatapata mimba akimnyonyesha vema ila akizembea anapata na pia baada ya miezi sita anaweza kupata so cheza n'a miez 6 ya mwanzoni)
Habari za muda huu wakuu?najitokeza kwa upande huu ikiwa ni mara yangu ya kwanza nauliza hivi..nikipindi gan hasa mama aliejifungua anaweza kushika ujauzito?nipo kwenye contradictinlon kubwa ndugu zanguni naombeni majibu urgent kama itawezekana.
Asanteni.