that-official
Member
- May 17, 2024
- 7
- 5
Habari Wana jamii.
Naomba kuuliza ni mda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu?
Mfumo wa Sasa upo kitechnology Zaidi, mtu anaeweza kuomba cheti online kwa kutumia simu yake.
Je kama taarifa sio sahihi ni namna gani wanarudisha majibu?
Ni mwezi Sasa unapita toka niombe cheti cha kuzaliwa na taarifa zangu nimekamilisha hadi kulipia control number.
Msaada viongozi ni muda gani inachukua kukamilika?