Hmaster JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 346 Reaction score 86 Apr 27, 2011 #1 Habari za asubuhi. Nafahamu ya kwamba leo ndo siku ambayo TCU wataanza kufanya mkutano pale U/Plaza ila sijajua utaanza saa ngapi na ni hadi saa ngapi? Mwenye kujua tafadhali anijuze nataka kuhudhuria!
Habari za asubuhi. Nafahamu ya kwamba leo ndo siku ambayo TCU wataanza kufanya mkutano pale U/Plaza ila sijajua utaanza saa ngapi na ni hadi saa ngapi? Mwenye kujua tafadhali anijuze nataka kuhudhuria!
kilimasera JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 3,068 Reaction score 277 Apr 27, 2011 #2 tunaomba kujua mikutano hiyo au maonyesho hayo yanahusu nini?tupe agenda man!umetuacha hewani