Kuwa na mashaka ni jambo la kawaida.[emoji112] Hello. Habari zenu wanajukwaa poleni na majukumu. Naombeni msaada wenu je kama umekutana kimwili na msichana alafu baada ya muda ukawa unamashaka na afya yako juu ya maambukizi ya ukimwi unahitajika ukae muda gani ndyo ukapime Ili vipimo vitoe majibu sahihi[emoji848]. Naomba kuwasilisha
Nimekutana naye kimwili mwezi wa Tatu but nili baada ya hapo nilikuwa nahofu kubwa sana nikaenda kupima mwezi wa SITA mwishoni almost zilipita siku kama 105 vipimo vikasoma negative.Kuwa na mashaka ni jambo la kawaida.
Unachopaswa kufanya ni kuzungumza na mwenzako. Wote kwa pamoja mfike katika kituo cha afya kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya zenu.
Kisha kupitia findings za vipimo hivyo, mtaalam ataamua njia bora zaidi.
Hujasema una hofu ya kuambukizwa ugonjwa gani. Kwani kila ugonjwa una muda wake wa kuonyesha matokeo ukifanyiwa vipimo. Magonjwa mengine hujidhihirisha mapema wakati mengine ikikulazimu kusubiri.
Kwa saikolojia ya kawaida, basi wasiwasi wako ni kuambukizwa virusi vya UKIMWI.
Siku za kuweza kujua hutegemea na aina ya kipimo unachotumia. Mathalani kuna vipimo vyenye uwezo wa kudetect virusi ndani ya siku 10 mpaka siku 90.
Ila sasa Mkuu, hofu ni mbaya sana kuliko ugonjwa wenyewe. Mpaka ifike muda wa kupima basi utakuwa umenyonyoka. Tafadhali ONDOA hofu.
Sema kimeumanaaa..!! Mkuu umeuza mechi?[emoji112] Hello. Habari zenu wanajukwaa poleni na majukumu.
Naombeni msaada wenu je kama umekutana kimwili na msichana alafu baada ya muda ukawa unamashaka na afya yako juu ya maambukizi ya ukimwi unahitajika ukae muda gani ndyo ukapime Ili vipimo vitoe majibu sahihi[emoji848].
Naomba kuwasilisha
NAKAZIA HAPA.pole sana, anza ARV mapema
We subiri hadi miaka 3 usizini tena. Baada ya miaka 3 ukipima ukawa negative basi oa kabisa. Confirmation yako ni ndoa, sawa dogo?Ingekuwa vizuri ungetaja utaje idadi yasiku ambazo mtuana confirm results.[emoji120]
Week[emoji112] Hello. Habari zenu wanajukwaa poleni na majukumu.
Naombeni msaada wenu je kama umekutana kimwili na msichana alafu baada ya muda ukawa unamashaka na afya yako juu ya maambukizi ya ukimwi unahitajika ukae muda gani ndyo ukapime Ili vipimo vitoe majibu sahihi[emoji848].
Naomba kuwasilisha
Nenda upime HIV kwanza
Kuwa na mashaka ni jambo la kawaida.
Unachopaswa kufanya ni kuzungumza na mwenzako. Wote kwa pamoja mfike katika kituo cha afya kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya zenu.
Kisha kupitia findings za vipimo hivyo, mtaalam ataamua njia bora zaidi.
Hujasema una hofu ya kuambukizwa ugonjwa gani. Kwani kila ugonjwa una muda wake wa kuonyesha matokeo ukifanyiwa vipimo. Magonjwa mengine hujidhihirisha mapema wakati mengine ikikulazimu kusubiri.
Kwa saikolojia ya kawaida, basi wasiwasi wako ni kuambukizwa virusi vya UKIMWI.
Siku za kuweza kujua hutegemea na aina ya kipimo unachotumia. Mathalani kuna vipimo vyenye uwezo wa kudetect virusi ndani ya siku 10 mpaka siku 90.
Ila sasa Mkuu, hofu ni mbaya sana kuliko ugonjwa wenyewe. Mpaka ifike muda wa kupima basi utakuwa umenyonyoka. Tafadhali ONDOA hofu.
Nimekutana naye kimwili mwezi wa Tatu but nili baada ya hapo nilikuwa nahofu kubwa sana nikaenda kupima mwezi wa SITA mwishoni almost zilipita siku kama 105 vipimo vikasoma negative.
Hofu ilitanda Kwenye nafsi yangu baada ya siku 100 kupitia nikaenda mahabara yakaribu kwaajili ya vipimo vipimo vikatoka negative je siku 100 zinatosha ku confirm.?[emoji848]. Naombeni ushauri wenu kuhusu ilo.[emoji120]