Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Habarini wadau,
Pia poleni wale ambao mmepoteza ajira zenu kwa sababu ya vyeti huku wenzenu "wanaojua kusoma na kuandika" wakiendelea kula mshahara mnono kwa kutumia vyeti vya wengine.
Back to topic; Mimi kama mjasiriamali wa muda mrefu nimekuwa nikisikia wafanyabiashara baadhi yao wakisema "msimu huu biashara mbaya sana"
sasa najua kila mfanyabiashara ana msimu anaoamini biashara itakuwa nzuri kulingana na anachouza.
Tuanze na mimi msimu ambao biashara huanza kupendeza ni:-
1. Msimu wa kipindupindu =watu wengi hufa hivyo biashara yangu ya majeneza na vifaa vyote vya mazishi inakubari sana.
2.Ajali mbaya- hasa ya magari ya abiria = watu tunauza majeneneza mpaka basi.
3.Wakati wa mvua watu hufa sana.
Je, wewe kipindi gani biashara huwa vizuri?