Nakuunga mkono,tatizo la uchakachuaji ni namna wewe ulivyompata mweza wako.Open marriage=Tamaa tupu.
Biggy nachurale how? I believe lazima kuna kitu ambacho kitawasababisha mpaka mfikie hyao makubaliano tena bila ya nyie wawili kuwa na EMOTIONS na WIVUOpen or no open, haiamuliwi na society wala na mume/mke. Inatokea nachurale tu kwa jinsi wawili hao watamavyokuwa wanabehave. Inafikia sehemu makubaliano yanatokea bila kuliongea jambo husika.
Open marriage=Tamaa tupu.
hi dear nimekumiss..Open or no open, haiamuliwi na society wala na mume/mke. Inatokea nachurale tu kwa jinsi wawili hao watamavyokuwa wanabehave. Inafikia sehemu makubaliano yanatokea bila kuliongea jambo husika.
mapenzi YANAJENGWA na wivu?how?nooooooooooooo!
Hahaha wewe GY hebu changia OPEN MARRIAGE hapa huo dogo anaoa next year l.o.lHivi hii mada hata ambao hawajabahatika kuwa na 'closed marriage' kama huyo dogo hapo juu wanaruhusiwa kuchangia?
Duh Teamo, mimi naikemea kabisa naomba isifike huku kwetu, sipendi kuja kushea mume wangu na mwanamke mwingine vivyohivyo na mimi singependa nimfanyie hivyo mume wangu. hukohuko ulaya sidhani kama wengi wanafanya hivyo. Acha tu ibaki siri mtu akicheat ila sitaki kabisa kujua.
Vipo vya kushea Muzee lakini sio mapenzi...hahahahamapenzi YANAJENGWA na wivu?how?nooooooooooooo!
Ninaye na hata kwa nini siwezi mlelea upuuzi na kusingizia kupitiwa na shetani,sasa ukikosa wewe sasa.....!
hi dear nimekumiss..
umeona jamaa wenye tamaa wanavyotamani open marriage?mimi siwezi kila mtu amiliki wake hata kama wanaume wapo wachache wakukosa akose bahati hupanga muumba.
well saidTeamo ni bora hizo principles zisiwepo, mapenzi yanajengwa na wivu na kama mtu hana wivu hakuna mapenzi