Ni muda muafaka wa kuachana na sifa za ujenzi wa madarasa na badala yake tujikite kwenye teknolojia za ulinzi wa Taifa

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Kwa maoni yangu Tanzania ya leo inapaswa kuondoka katika fikra za kushabikia ujenzi wa madarasa, vituo vya afya na barabara na badala yake tuwekeze kwenye tafiti na interventions za kistratejia ikiwemo ulinzi na uchumi.

Tuache kuimba mapambio bali tujikite kwenye kuandaa mipango ya muda mrefu ya kujikwamua kiuchumi na kiulinzi dhidi ya mataifa zunguka na mataifa makubwa.

TUJITATHMINI NA KUTAFAKARI KWA KINA.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Naona akili zinaanza kurudi taratibu sehemu yake baada ya miaka mingi ya kuishi kama misukule kupita.
 
Kwa maoni yangu Tanzania ya leo inapaswa kuondoka katika fikra za kushabikia ujenzi wa madarasa, vituo vya afya na barabara na badala yake tuwekeze kwenye tafiti na interventions za kistratejia ikiwemo ulinzi na uchumi.

Tuache kuimba mapambio bali tujikite kwenye kuandaa mipango ya muda mrefu ya kujikwamua kiuchumi na kiulinzi dhidi ya mataifa zunguka na mataifa makubwa.

TUJITATHMINI NA KUTAFAKARI KWA KINA.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kujilinda dhidi ya taifa gani kubwa mkuu?

Je umekagua vikosi vya majeshi ya ulinzi ukakuta wamezubaa kama unavyofikiria?

Ni kweli tumezidisha mapambio kupitiliza,mpaka inakera.

Lakini hatuwezi kuendelea kiuvumbuzi kama kila mvumbuzi anawekwa ndani kama criminal.

Mtu akigundua kutengeneza gobore badala ya kumpeleka jeshini akajiendeleze kitaaluma.

Sisi tunampeleka magereza akalime bure.

Mtu akigundua kutengeneza gongo la kienyeji anakamatwa na kufungwa eti pombe haramu.
Badala ya kumuendeleza ili aiboreshe kwa teknolojia ya kisasa zaidi.

Mtu anayeruka na ungo usiku tungewashauri ili wakubali kuiweka wazi teknolojia yao badala ya kuwaua kwa mapanga usiku.
 
sera za viongozi wetu wakati wa uchaguzi zinaweza kabisa kuondoa hayo
 
Back
Top Bottom