Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kwanini haya yote yawepo hili nadhani ni funzo kwao huu ndo muda sahihi wa kupigania katiba mpyaTulisema hapa kuwa matokeo yakitoka zitaanza blaa blaa za katiba Mpya sijui Tume huru ya Uchaguzi n.k
Laiti Mbowe na Zitto wangejua kuwa wao binafsi hawatopita basi wangetangaza kususia, sema walidhan wap wangepenya kama alivyokuwa anawapenyeza Kikwete miaka yake yote 10 ya Uongozi
Huu upinzani mfu na katiba wapi na wapKatiba mpya ndo suluhisho Pekee lililobaki kwa Upinzani kuinuka na kuwa Imara zaidi.Lakini bila kudai katiba mpya nchi itazidi kuwa ya Kijani Mpaka Yesu anarudi.
Upinzani waunganishe nguvu zao kwa pamoja kuipigania hii Katiba.