Ni muda mwafaka kwa Mtandao wa Tigo kujitafakari

Ni muda mwafaka kwa Mtandao wa Tigo kujitafakari

ministrant

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
754
Reaction score
1,478
Habari za Mchana huu waungwana.
Niende moja kwa moja kwenye mada iliyobeba kichwa cha habari hapo juu.
Kukotokana na kukithiri kwa wizi wa mtandao kupitia simu za Mkononi ni wakati mwafaka kwa mtandao wa Tigo kujitafakari kutokana kukithiri kwa ongezeko la wezi wanaojifanya ni watoa huduma wa mtandao huu wakiwalaghai wateja kwa lengo la kuwaibia fedha zao.
Mtandao huu wa Tigo umekuwa ukishambuliwa sana na wezi hao japo ambalo ni nadra kutokea ama halipo kabisa katika mitandao mengine.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom