Afcon 2027
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 309
- 579
So far Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi ya kimaendeleo na ameona hali ya kisiasa nchini(to me, mama Hana deni at all, ameeendeleza miradi na kutuletea maendeleo, Amewajua fake and real kwa nchi yetu, briefly hana cha kupoteza)
Naamini mama aliletwa kwa mipango ya Mungu ya kuifanya nchi yetu ifike Caanan kwa tupatia katiba mpya na kutengeneza nchi yetu for our own good.
Nilikuwa najiuliza kwanini wengine washindwe ila niligundua ni kwasababu ya watu walowaweka madarakani hawataki transformation. Naamini mama unaweza kufanya mengi including katiba mpya for the success of our country.
Sidhani kama anayo nia hiyoSo far Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi ya kimaendeleo na ameona hali ya kisiasa nchini(to me, mama Hana deni at all, ameeendeleza miradi na kutuletea maendeleo, Amewajua fake and real kwa nchi yetu, briefly hana cha kupoteza)
Naamini mama aliletwa kwa mipango ya Mungu ya kuifanya nchi yetu ifike Caanan kwa tupatia katiba mpya na kutengeneza nchi yetu for our own good.
Nilikuwa najiuliza kwanini wengine washindwe ila niligundua ni kwasababu ya watu walowaweka madarakani hawataki transformation. Naamini mama unaweza kufanya mengi including katiba mpya for the success of our country.
Hakua nayo mwanzonSidhani kama anayo nia hiyo
Tulimashauri sana kuwa Katiba Mpya hata yeye itamsaidia. Ona sasaHakuna nayo mwanzon
Ila Kwa mchezo unavyoendelea kajifunza mengi (aliowaamini wamegeuka traitors)...Hana Cha kulose zaidi ya kuwaletea maendeleo watanzania
Akina kinana walimpoteza kwenye Mjadala wa maridhianoTime will tell
Naamini ataweza kufanya ivyo
Na ni rais tutakayemkumbuka kuliko wote
Mkuu, tena akileta Katiba Mpya atakumbukwa kama Mwalimu anavyo kumbukwa, na anaweza kuitwa Mana wa Taifa.Hakua nayo mwanzon
Ila Kwa mchezo unavyoendelea kajifunza mengi (aliowaamini wamegeuka traitors)...Hana Cha kulose zaidi ya kuwaletea maendeleo watanzania