Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 273
- 765
Kama Yanga wanahitaji mchezaji wa kuwapa uzoefu kuhusu mbinu za kufanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika basi ni dhahiri huu ni muda muafaka wa kumpa nafasi mwamba John Rafael Bocco kumwaga wino jangwani kuwatumikia kwa uadilifu mkubwa wananchi.