Ni muda sasa tanzania kuwa na international indoor stadium.

Ni muda sasa tanzania kuwa na international indoor stadium.

mwantulwa

Member
Joined
Feb 22, 2021
Posts
30
Reaction score
42
Ni aibu kwa nchi ya tanzania kutokuwa na uwanja wa michezo ya ndani wenye hadhi ya kimataifa. Kuwa na kiwanja hata kimoja tu inatosha lakini ni standard, ule uwanja wa mabati pale taifa indoor haukidhi kabisa kucheza mechi za kimataifa. Sio kwa basketball, volleyball wala netball.

Kujenga viwanja hivi vya indoors ni gharama lakini ni muhimu kwa taifa kuwa na uwanja kama huo. Tunashindwa hata na nchi ndogo ya rwanda, wao wamejenga uwanja standard kwa michezo ya ndani. Ukiambiwa huo uwanja uko rwanda unaweza kukataa.

Waziri wa michezo kama hili nalo ni la muhimu kwa mlivyopanga kukarabati viwanja vya mpira wa miguu.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom