AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Sep 24, 2026 #1 Muda wa wanasheria wa kampuni ya sandaland kuonesha hawalipwi kimdebwedo,hawali mshahara bure wapambane na wakishindwa kuutetea mkataba wao na TFF basi awafukuze wote Soma Makonda: Kwa Miaka Mitatu mfululizo Sandaland na TFF hawajawahi kufanya Mapitio ya Mkataba Sandaland: Kwa mujibu wa Mkataba, aliyepaswa kuzikataa Jezi ni TFF, wakati tumepeleka 'sample' kama hazikuwa na ubora Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake
Muda wa wanasheria wa kampuni ya sandaland kuonesha hawalipwi kimdebwedo,hawali mshahara bure wapambane na wakishindwa kuutetea mkataba wao na TFF basi awafukuze wote Soma Makonda: Kwa Miaka Mitatu mfululizo Sandaland na TFF hawajawahi kufanya Mapitio ya Mkataba Sandaland: Kwa mujibu wa Mkataba, aliyepaswa kuzikataa Jezi ni TFF, wakati tumepeleka 'sample' kama hazikuwa na ubora Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Sep 24, 2026 Thread starter #2 Watu hawazingatii mikataba
hsnaturalfertility JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 1,029 Reaction score 2,243 Sep 24, 2026 #3 Ee sio kuvaa tu suti na kubeba briefcase πππ
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,865 Reaction score 29,608 Sep 24, 2026 #4 Bashite atatumia dola kujipa ushindi , mzabuni akubali tu hasara maana huko mbele atapoteza pesa na muda tu
Bashite atatumia dola kujipa ushindi , mzabuni akubali tu hasara maana huko mbele atapoteza pesa na muda tu