kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Nimekuwa shabiki wa Mayele sana lakini kwa wakati huu anazingua. Yanga wanahitaji mshambuliaji mwingine ambaye atachukua nafasi Yanga.
Fiston amekuwa mchoyo sana, pia anashindwa magoli ya wazi sana. Yanga wanatengeneza zaidi ya nafasi tatu mpaka za wazi mechi moja, Mayele amekuwa akitumia moja au anashindwa zote kabisa.
Mimi naamini kama kocha wa Yanga atamtengeneza na kuamini yule dogo Yusuph Athuman anaweza kuwa namba 9 mzuri sana, na pia anaweza kuwa tishio kila siku na angalia marudio ya mechi zake, yupo vizuri au kutengeneza Makambo.
Kwa wanaojua mpira ndiyo watakubaliana na mimi tu.