Mpira mgumu. Ni rahisi kukandia , ingia uone motoNimekuwa shabiki wa mayele saana
But for this time anazingua yanga wanahitaji mshambuliaji mwingine ambaye atachukua nafasi yanga
Fiston amekuwa mchoyo saana pia anashindwa magoli ya wazi saana yanga wanatengeneza zaidi ya nafasi tatu mpaka za wazi mechi moja mayele amekuwa akitumia moja au anashindwa zote kabisa
Mimi na amini kama kocha wa yanga atamtengeneza na kuamini yule dogo yusuph Athuman anaweza kuwa namba 9 mzuri saana na pia anaweza kuwa tishio kila siku na cheki mechi replay zake yupo vizuri au kutengeneza makambo
Kwa wanao jua mpira ndo watakubaliana na mimi tu
Sikuungi mkono, mayele kuwa na mechi ngumu ni swala la kawaida sana huwezi mcompare kabisaNimekuwa shabiki wa mayele saana
But for this time anazingua yanga wanahitaji mshambuliaji mwingine ambaye atachukua nafasi yanga
Fiston amekuwa mchoyo saana pia anashindwa magoli ya wazi saana yanga wanatengeneza zaidi ya nafasi tatu mpaka za wazi mechi moja mayele amekuwa akitumia moja au anashindwa zote kabisa
Mimi na amini kama kocha wa yanga atamtengeneza na kuamini yule dogo yusuph Athuman anaweza kuwa namba 9 mzuri saana na pia anaweza kuwa tishio kila siku na cheki mechi replay zake yupo vizuri au kutengeneza makambo
Kwa wanao jua mpira ndo watakubaliana na mimi tu
Kwani ngushi hayupo na kamboleNimekuwa shabiki wa mayele saana