yaani bebii ndo maana ukawa mchumba wangu, si nilikuambia kabisa kuwa wanawake hawawezi kuvumilia? haya sasa naamini umeprove!!!!!!!!!!!!!:heh:inaelekea huyo mwanamke anataka talaka kwa vile mume hana kazi so mume ameona asubiri apate kazi ili ajue kama mke atataka iyo talaka ama la maana kukosa kazi kwa mume ndo tatizo.acha atoe tatizo kwanza
ni huyo tu bwana mimi wa kwangu hata kama tunalala chini nakaa naye sema tu awe mwaminifu na wewe utaweza kuwa mwaminifu?yaani bebii ndo maana ukawa mchumba wangu, si nilikuambia kabisa kuwa wanawake hawawezi kuvumilia? haya sasa naamini umeprove!!!!!!!!!!!!!:heh:
si ndo maana nikasema mimi na wewe tunaendana kila kitu????????????????????ni huyo tu bwana mimi wa kwangu hata kama tunalala chini nakaa naye sema tu awe mwaminifu na wewe utaweza kuwa mwaminifu?
mmh wapi wewe?sidanganyiki? kuteseka niteseke mie kula wale wenginesi ndo maana nikasema mimi na wewe tunaendana kila kitu????????????????????
mke yupo morogoro na jamaa yupo kigoma kwa sasa, jamaa anakaa kwa washkaji kwahiyo inakuwa ngumu kukaa nae, pia huwa wanawasiliana kwa simu2007 mpaka 2011 hawajakaa mke na mume pamoja na and they still call it marriage. Huyo bwana huko aliko yuko single tuu miaka yote hiyo. Hebu akili zako changanya na za kuambiwa bana. Almost four years mke na mume wako mbali tena within the country japo hujasema mke yuko wapi. Na kinachomfanya asije kwa mke wake ni nini. Kwani huko kutafuta kazi si wangetafuta na mke wake wakiwa pamoja kama familia au kutafuta mtaji wakaanza biashara na mkewe. Mkuu hapo la kumshauri mwambie tuu mke awahi tuu kuomba separation na ikifika mwakani kisheria kama mke hajamuona mume wake kwa miaka mitano ndoa haipo tena yaani kama mke hajui whereabout of her husband for five years it presumed that there is no marriage between the two
mke yupo morogoro na jamaa yupo kigoma kwa sasa, jamaa anakaa kwa washkaji kwahiyo inakuwa ngumu kukaa nae, pia huwa wanawasiliana kwa simu