Ni muda upi unafaa kuwa mbali na mke au mume


Mwanamke amechelewa kuomba talaka..

Nini maana ya kuoa..Kama mwanaume angekuwa Gerezani ingeleta maana.. Hakuna mahusiano hapo!


Na kama ana uwezo wa kutuma ela ya matumizi kinachomfanya asi save na kumtembelea wife ni nini? Hapo talaka ni haki kabisa' anamuweka mkewe kwenye majaribu buree.

Mi naona jamaa ampe tu huyo mke talaka kwani kama ni kuvumilia jamaa amevulia sana na mke naye amejaribu kuvumilia ila kashindwa. Habari ndo hiyo!



sredi klosed!
 
ki roho safi kazi bado hajapata,,,,,,hapo kwenye red ndo nimepapenda
 
Hiuvi viumbe ni mikosi tupu basi tu. Ukiwa na pesa honey, sweertheart, my dear nk. Ukikosa kazi maneno. Hawawezi kuvumilia hata sekunde moja. wanawake ni kama umeme wa tanesco, ukikata mtaa unanuna
 
Mwanamke amechelewa kuomba talaka..

Nini maana ya kuoa..Kama mwanaume angekuwa Gerezani ingeleta maana.. Hakuna mahusiano hapo!

haswaa, kuna sababu za msingi ambazo zinaweza kuvumilika mtu akaishi mbali na mwenza wake mfano mmoja kenda kusoma mbali hata kama ni miaka 4 unamsubiri, lkn kwa case yako mi naamini ndoa ni mkusanyiko wa mambo mengi sana, na hilo la kuwa na kazi y a kuingiza kipato ni moja tu kati ya mengi hivyo kama kweli huyo mwanamume anafikiri sawasawa asingeweza kusacrifice ndoa yake kwa ukosefu wa kazi!
 
Huyo mwanamke ana haki ya kuomba taraka! Mke na mume (married couple) wanatakiwa kuishi pamoja all the times. No matter what,ME & KE wanatakiwa kuishi pamoja while sharing GOOd & BAD unless one goes somewhere for further study!!
 
Huko singida ndo kunakazi tuuuu? miaka 4 yoote anatafta kaz gani? Na anaishije na anamtunzaje mke bila kaz? Au mke anajitunza mwenyewe? JE NI KWELI AMEKAA MIAKA 4 MBALI NA MKE BILA KUWA "FARAGHA" NA MWANAMKE MWINGINE?NAHISI MKE ANAHAKI YA KUDAI TALAKA TENDA ANGEONDOKA TALAKA IMFATE NYUMA.
 
wonders will never cease! huyo jamaa anasaka kazi 4 yrs, anashindwa kukaa na familia yake. huko anakotaftia kazi anakula nini na kuvaa nini? si bora angekaa home akaangalia watoto wakati mke anafanya kazi? wanaumme wengine bana,dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…