MKAKA WA CHUO
Member
- Aug 13, 2022
- 11
- 6
Kilimo: Ni kitendo Cha ukuzaji wa mimea na ufugaji wa wanyama kwa ajili ya chakula na biashara. Ni jambo lisilopingika kwamba Kilimo ni UTI wa mgongo wa nchi yetu ya TANZANIA japo kuwa asilimia kubwa ya Watanzania hatunufaiki ipasavyo kufikia hatua hii ya kusema kwamba Kilimo ndio UTI wa mgongo wa Taifa letu. Hali hii inatokana na mavuno machache kinyume na Yale yaliyokusudiwa ukilinganisha na muda, jitihadi,nguvu, na gharama zinazotumiwa.
Kwa kawaida ili mradi wowote utakaoanzishwa uwe na tija kwa Watanzania basi ni lazima uwe ni mradi bora na wenye kuleta manufaa kwa Taifa na Watanzania kwa ujumla.
KILOMO BORA: Hiki ni kitendo Cha ukuzaji wa mimea na ufugaji wa wanyama kwa kuzingatia taratibu,hatua, na MIFUMO yote inayohitajika ili kuhakikisha upatikanaji wa faidi toshelezi kwa kuzingatia zao lipi wataje wanahitaji.
Hivyo kilimo tutakiita ni kilimo Bora Kama kitafata hatua na kanuni za ukuzaji wa mazao husika kulingana na mazao yenye tija na soko. Kiukweli kuto kuzingatia Nini mteja au soko linahitaji ni miongoni mwa Sababu zinazosababisha kilimo chetu Cha TANZANIA Kisiwe kilimo Bora Hali ambayo ni kinyume na ilivyokusudiwa.
Kwa kawaida kitendo Cha ukuzaji wa mimea na ufugaji wa wanyama huwa na malengo makuu mawili yaani chakula na biashara, lakini kilimo hiki kwa asilimia kubwa Huwa hakifikii malengo ya Watanzania wengi kwa Sababu ya kutofata kanuni na taratibu za ukuzaji wa mazao hayo.Hali hii hupelekea upatikanaji wa mazao machache. Hivyo ni kilimo ambacho hutumia muda mrefu, nguvu nyingi na jitihada kubwa hutumika lakini matokeo yake Huwa ni kinyume na matarajio, hivyo kilimo hicho bado hakiwezi kuwa kilimo Bora.
Kuna njia tofautitofauti zinazoweza kuisaidia nchi yetu kubadilisha kilima Bora kuelekea kwenye kilimo chenye tija na faida kwa Watanzania.Miongoni mwa njia hizo ni utoaji wa elimu juu ya ulimaji wa Kisasa ambao utasaidia kuongeza tija kwa Watanzania.Kuwahamasisha Watanzania juu ya faida za ulimaji wa wa kilimo bora.
TANZANIA tumebarikiwa kuwa na maeneo mengi makubwa makubwa ambayo yanaweza kutumika katika kuendesha kilimo Bora , vilevile hmaeneo ambayo WATANZANIA wengi tunayatumia katika kuendesha kilima Bora yanaweza kutumika katika kuendesha kilimo Bora kwa manufaa ya WATANZANIA na Taifa kwa ujumla.
WATANZANIA tulio wengi tunajishughulisha na shughuli hii ya kilimo, lakini kilimo tunachokifanya tuliowengi sio kilimo Bora kwa Sababu mavuno au matokeo tunayoyapata katika shughuli hii ni kinyume na malengo tunayoyakusudia.
Kwa akili ya kawaida ni vigumu kuamini kwamba mradi Fulani ni Bora ilihali hauhusishi vitu, vifaa, watu Bora (wenye elimu juu ya jambo Hilo) na MIFUMO bora. Hivyo haiwi sawa kukiita kilimo Cha TANZANIA Kuwa ni kilimo Bora ilihali wanaojihusisha katika kilimo chetu wengi wao hawana elimu ya kutosha juu kilimo Bora, vilevile MIFUMO au njia na vifaa vinavyotumika ni vifaa duni visivyo na ubora Kama vile majembe ya mikono na mapanga.
Tunaposema kilimo Bora kwa kawaida kilimo Hiki kina sifa mbalimbali za msingi, miongono mwa sifa hizi ni kuzingatia usahihi katika Kila hatua Kama vile uandaaji wa shamba, matumizi ya mbolea, umwagiliaji, kudhibiti wadudu na magonjwa na kuhakikisha upatikanaji wa faida au tija katika shughuli hii. Kwa upande wa ufugaji, kitendo Cha kufuga mifugo isiyo na tija pia hatuwezi kusema hicho ni kilimo Bora, kwa mfano makabila Kama wamasai, wengi wao wanafuga mifugo mingi lakini mifugo hiyo huwapatia faida ndogo ukilinganisha na muda, nguvu na gharama zinazotumika. Hali hii husababishwa na ufugaji usio Bora jambo linalopelekea kurudisha nyuma maendeleo ya uchumi kutokana na kutofata kanuni na taratibu za kilimo Bora na kutokuweza kudhibiti magonjwa na changamoto zingine.
Kwa kiwango kikubwa kwa maisha ya Sasa vijana wengi hupenda kufanya vile vitu ambavyo watu wakubwa na maarufu Huwa wanafanya. Hivyo katika njia ambazo zinaweza kuimarisha kilimo cheti Ili kiwe kilimo Bora,jambo la kwanza ni utoaji wa elimu juu ya namna ya ulimaji wa KISASA wenye tija na manufaa, kuwaelimisha WATANZANIA juu ya hasara ya kilimo Cha mazoea au kilimo Bora.
Lakini njia ya pili ni Uhamasishaji wa watu au wadau wenye uwezo wa kifedha, vyeo na umaarufu ili washiriki katikakukuza na kuendeleza kilimo Bora. Kwa mfano MOHAMED DEWJI,SAID SALIM BAKHARESA, mawaziri wa wizara husika Kama vile waziri wa maji Mh. JUMAA H. AWESO na Mh. HUSSEINI BASHE, MH.J.K.KIKWETE, na watu wengine maarufu Kama vile wakuu wa mikoa, hawa ni miongo mwa wachache ambao wakishiriki kikamilifu katika kuhakikisha kilimo Bora TANZANIA tunaweza kupiga hatua kubwa. Hii ni kwasababu wadau na waheshimiwa waliotajwa hapo juu wanao uwezo wakuajiri WATANZANIA kadhaa katika kuendesha mashamba Yao ili kuhakikisha maendeleo ya uchumi wa Taifa kutokana na uendeshaji wa kilimo Bora.
Hivyo mawaziri wa kilimo, maji umwagiliaji na ufugaji wakikabidhiwa maeneo kwa ajili ya uhamasishaji wa kilimo Bora, jambo hili linaweza kuchochea kwa kiwango kikubwa, na ile kauli inayosemwa kuwa wenye vyeo na pesa hawalimi itapotea na kilimo Bora kitapata hadhi yake.
Kutafuta wawekezaji kwenye sekta ya kilimo, hili ni jambo lingine linaloweza kushawisha kilimo katika nchi yetu, wawekezaji kutoka katika nchi za kigeni Kama Marekani na China wanaweza kusaidia Taifa letu kuimarisha kilimo Bora. kwani pia itasaidia upatikani wa ajira katika mashirika ya kilimo Kama vile mabibi na mabwana shamba, wahasibu, wasimamizi wa mashamba na watu wengine wasio na elimu. Vilevile itarahisisha kuenea kwa teknolojia za kilimo katika nchi yetu.
Ulimaji wa maeneo makubwa bila kuzingatia mazao yenye tija sokoni hili ni tatizo jingine. WATANZANIA wengi bado wanalima mazao ya kimazoea bila kujali soko linahitaji kitu gani,chenye ubora gani au Zao gani linifaida kubwa sokoni. Kwa mfano zao Kama pilipili ni miongono mwa mazao yenye tija Sana katika masoko tofauti ndani na Nje ya nchi Kama vile Misri na India.
Hivyo basi Ili kuweza kuendeleza kilimo Bora ni lazima kufuata Sheria na kanuni zinazohitajika katika ukuzaji wa mazao husika Ili kukuza Uchumi wa Taifa na Watanzania kwa ujumla. Picha hapo chini zinaonyesha jitihadi mbalimbali za serikali katika kuhamasisha kilimo Bora na Matumizi sahihi ya mbolea. NDUGU ZANGU WATANZANIA, TUNATAKA MAFANIKIO BILA KUFATA UTARATIBU NA HATUA STAHIKI, KUMBUKA NGARAWA HAITEMBEI NCHI KAVU, TUFATENI HATUA SAHIHI TUTAFANIKIWA.
BY MKAKA WA CHUO.

Upvote
1