mahmoud abbas
Member
- Sep 8, 2011
- 37
- 6
Ninamshukuru mungu kwa kumaliza mitihani yangu ya kidato cha sita salama wasilimini, ila hofu kubwa niliyokuwa nayo moyoni mwangu ni swala la kuvuja kwa mitihani hii ya kidato cha sita, kwa taarifa nilizosikia kwa mitihani mingi imevuja hasa kwa upande wa mikoa ya dar es salaam,lindi,mtwara na tanga na kwasababu hiyo itatuponza sisi tusiyoipata iyo mitihani iliyovuja(feki)hasa katika swala la usahishaji kutoka na kwamba jamaa wakisikia tu kuwa mitihani imevuja basi chamte makun kipo kwenye usahishaji so namwamba mungu hao wasahishaji wasitubane...naamini mungu ataweka wepesi kwenye hilo