Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam
Naona huyu kiongozi ameshindwa kuwalinda wanachama wa chadema amekua mpole mno na ni kama anatekeleza maagizo flani flani kutoka ccm ni kama kibaraka wa ccm.
Maana haiwezekani wanachama wanauwawa halafu ww km kiongozi unasimama na kutetea wahusika hebu rejea msiba wa mzee kibao alimtete masaumlni bila haya. Nilitegemea angeitisha nguvu ya umma kupinga udhalimu huu lakini amekua laini mno kiasi inatia mashaka.
Ni vema mbowe ujiuzulu uenyekiti haraka bisha watu wenye uwezo wa kuiongoza chadema na kupigania haki za wanachama ww nenda kalambe asali. You must go!
Over.