Pre GE2025 Ni muda wa mwenyekiti wa CHADEMA kujiuzulu. Mbowe must go!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam
Naona huyu kiongozi ameshindwa kuwalinda wanachama wa chadema amekua mpole mno na ni kama anatekeleza maagizo flani flani kutoka ccm ni kama kibaraka wa ccm.

Maana haiwezekani wanachama wanauwawa halafu ww km kiongozi unasimama na kutetea wahusika hebu rejea msiba wa mzee kibao alimtete masaumlni bila haya. Nilitegemea angeitisha nguvu ya umma kupinga udhalimu huu lakini amekua laini mno kiasi inatia mashaka.

Ni vema mbowe ujiuzulu uenyekiti haraka bisha watu wenye uwezo wa kuiongoza chadema na kupigania haki za wanachama ww nenda kalambe asali. You must go!
Over.
 
Mfumo w utawal needs balance between Tanganyika na Visiwa vya Zanbahar, tanganyika inaelemeeewa shaurizenuh, kimyakimya hiy
 
Ku
Kuna stuesheni busara haitakiwi hasa cku ile ya msiba angewacha waombolezeji watoe nyongo zao huenda ingekua fundisho
 

Mnataka kumteka na Mbowe mafisadi🏃‍♂️
 
Umelipwa ?

Kama hujalipwa tumia hata D moja kufikiria ulichondika,

Anaetakiw kujiuzulu n nani mbow au thamea ?
 
Kama una ujasiri hebu jaribu kukichomoa chama kutoka mfukoni kwake. Mfuko wake ni mrefu, sijui mkono wako utakuwa na urefu gani.
 
Upande wa pili tunaona tayari boxer zimeanza kujaa - come 23rd Nov.
 

Mbowe huwa anatumia sana lugha laini, mabadiliko ya kweli hayaji kama kuvuta hewa ,kuna wakati diplomasia,inawekwa pembeni,
 
Wewe hujui unaandika nini, je wewe ni CCM nini?
 
Mbowe ni pandikizi la ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…