SoC04 Ni muda wa Tanzania kupitisha sheria kuwa uzalendo liwe somo rasmi

SoC04 Ni muda wa Tanzania kupitisha sheria kuwa uzalendo liwe somo rasmi

Tanzania Tuitakayo competition threads

young-sha96

New Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
3
Reaction score
0
Uzalendo ni kitendo cha mtu kuipenda, kuithamini na kupambania nchi yake.natamani miaka mitano na kuendelea tuzalishe jamii ya uzalendo wa kweli na kuithamini nchi yetu.

Mapendezekezo yangu bunge litunge sheria kwa kila mgombea awe anaenda kula kiapo jimbo kwake mbele ya wananchi kwa mkataba wa miaka miwimiwili ili kwa kipindi hicho akishindwa kutimiza ahadi zake wananchi waweze kumtengua ili tutengeneze taifa lenye afya katika kila nyanja.

Mataifa yote yaliyoendelea kitu ambacho wamekiweza ni kupanda mbegu ya uzalendo vizazi na vizazi hali hiyo hupelekea uchumi kukua,afya bora,elimu bora,siasa yenye tija,technology ya hali ya juu, hiyo yote ni kwa sababu wameweza kupanda mbegu ya uzalendo.

Sasa ni muda wa mbuge pamoja na serikali kuu kupitisha sheria kuwa uzalendo liwe soma rasmi kutoka shule za msingi mpaka elimu ya juu kabisa piahi kuwepi na adhabu kali sana kwa watu wapokea rushwa na watoa rushwa, viongozi ambao hawawajibiki pia waondolewe kwenye nafasi zao.uzalendo ni uchumi wetu, uzalendo ni wetu,uzalendo ni dira yetu.

E95EE271-3025-49EF-8D2A-3A6EA285984A.png
 
Upvote 0
Back
Top Bottom