S second in commander Member Joined Feb 9, 2021 Posts 6 Reaction score 16 Apr 8, 2021 #1 Nimeona Vyombo vya Habari vimekula mapesa kibao huku wasanii wakilialia kuwa hawakupata kitu Ni muda muafaka waje na mpango wao sio kutegemea wanyonyaji
Nimeona Vyombo vya Habari vimekula mapesa kibao huku wasanii wakilialia kuwa hawakupata kitu Ni muda muafaka waje na mpango wao sio kutegemea wanyonyaji
Ndombwindo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2013 Posts 1,387 Reaction score 2,085 Apr 9, 2021 #2 Kwenye upigaji huwezi sikia mtu akikuambia alipata kitu, pesa zenyewe hazina ushahidi wa moja kwa moja.... Acha fedha za Umma ziliwe na Umma..
Kwenye upigaji huwezi sikia mtu akikuambia alipata kitu, pesa zenyewe hazina ushahidi wa moja kwa moja.... Acha fedha za Umma ziliwe na Umma..