Ni muhimili upi niweke Tsh 1.2m kwa mwezi kwa miaka mitano na kupata faida nzuri?

Ni muhimili upi niweke Tsh 1.2m kwa mwezi kwa miaka mitano na kupata faida nzuri?

Joined
Nov 3, 2022
Posts
74
Reaction score
146
Habarini wakuu,
Ni financial institution ipi naweza kuweka pesa 1.2m kwa mwezi kwa muda wa miaka mitano bila ya kuitoa. Namaanisha credibility nzuri bila uzinguaji na wenye riba nzuri sana ambayo itapelekea mimi kupata faida niki withdrawal after 5 years.
 
Back
Top Bottom