Wanawake wanapata tabu sana kujikubali miili yao mpaka kuingia katika vishawishi vya kutumia dawa za kichina au kwa wenzetu nchi zilizoendelea kama marekani hufanyiwa operesheni au surgery kutengeneza mwili kwa mfano kuongeza makalio au kupunguza minyama uzembe.
Wanasahau kitu kimoja binaadamu yeyote yule wanaume kwa wanawake mazoezi na milo ya afya ni muhimu sana. kwa kuzingatia hivi vitu vyote kuhusu mwili wako vitakuwa sawa.
ila kwa mimi mpenda fashion naona kuna wanawake au warembo wanajitahidi na body positivity. yaani kujiamini na mwili wako kwa mfano Sanchoka a.k.a sanchiworld anavyojivunia na hata ex wa nay wa mitego SKNER. japo nasikia kunasifa zengine nisizozielewa kuwa anafanya.
Sanchoka
Skyner