Ni Mungu anatupenda sana wakazi wa Dar es Salaam au imetokea tu mvua kujinyeshea yenyewe?

Ni Mungu anatupenda sana wakazi wa Dar es Salaam au imetokea tu mvua kujinyeshea yenyewe?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Je, hii mvua ni baraka za Mwenyezi Mungu kwetu wakazi wa Dar es Salaam? Mvua kunyesha non-stop 24/7, hii mvua inanyesha tu by chance?
 
Kwani mara hii hakuna anaetengeneza safina..
 
Mkuu jiandae kwa ukosoaji na wakosoaji wazoefu watakao kuja hapa siku za usoni. Lakini kuhusu mvua, hii ni kawaida jambo la msingi ni kuwa makini wakati wote katika kipindi hiki cha mvua
 
Hizo mvua ni juhudi za serikali ya awamu ya tano, awamu zilizopita zilishindwa kabisa kuleta mvua za kutosha.
 
Back
Top Bottom