Mukulu wa Bakulu JF-Expert Member Joined Aug 12, 2014 Posts 4,051 Reaction score 12,954 Oct 17, 2019 #1 Je, hii mvua ni baraka za Mwenyezi Mungu kwetu wakazi wa Dar es Salaam? Mvua kunyesha non-stop 24/7, hii mvua inanyesha tu by chance?
Je, hii mvua ni baraka za Mwenyezi Mungu kwetu wakazi wa Dar es Salaam? Mvua kunyesha non-stop 24/7, hii mvua inanyesha tu by chance?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Oct 17, 2019 #2 Kwani mara hii hakuna anaetengeneza safina..
dumejm JF-Expert Member Joined Feb 18, 2016 Posts 1,180 Reaction score 853 Oct 17, 2019 #3 What are you trying to say men??
Miss weapon Member Joined Sep 9, 2019 Posts 94 Reaction score 67 Oct 17, 2019 #4 Mkuu jiandae kwa ukosoaji na wakosoaji wazoefu watakao kuja hapa siku za usoni. Lakini kuhusu mvua, hii ni kawaida jambo la msingi ni kuwa makini wakati wote katika kipindi hiki cha mvua
Mkuu jiandae kwa ukosoaji na wakosoaji wazoefu watakao kuja hapa siku za usoni. Lakini kuhusu mvua, hii ni kawaida jambo la msingi ni kuwa makini wakati wote katika kipindi hiki cha mvua
INTROVERT MAN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 993 Reaction score 1,343 Oct 17, 2019 #5 na sie tuliopo mwanza tusemeje
B Blac kid JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 6,686 Reaction score 7,497 Oct 17, 2019 #6 Hizo mvua ni juhudi za serikali ya awamu ya tano, awamu zilizopita zilishindwa kabisa kuleta mvua za kutosha.
Hizo mvua ni juhudi za serikali ya awamu ya tano, awamu zilizopita zilishindwa kabisa kuleta mvua za kutosha.