Venant Ben
Senior Member
- Nov 29, 2010
- 155
- 10
Mi 24, Nikita, Human target, PB, Lost, FlashForwad, The V, Vampire Diaries, The Event, How I met your Mother, Are we there Yet, Legend of the Seeker.., La revancha:love::love:
Mie ni mpenz wa muvi. Kama nawe ni mpenz wa muvi ebu nipe top10 yako ya muvi unazozikubali sana
mzeewaloliondo The Godfather ni mwisho. Sijawahi na siwezi wahi kuichoka here are a few quotes:
"A man who doesn't spend time with his family can never be a real man." Don Corleone to Johnny Fontane
"Fredo, you're my older brother, and I love you. But don't ever take sides with anyone against the family again. Ever." Michael to Fredo'Never tell anybody outside the family what you're thinking again." Don Corleone to Sonny
Mi 24, Nikita, Human target, PB, Lost, FlashForwad, The V, Vampire Diaries, The Event, How I met your Mother, Are we there Yet, Legend of the Seeker.., La revancha:love::love:
Mbimbinho hapo katika red umenigusa sana,yani saluti,mana hizo 5 mimi pia nafuatilia ondoa 24 ambayo imekwisha,but nayo niliangalia mpaka ya mwisho aisee,kama upo dar ntaku pm mkubwa,mana nahisi wewe ni addicted wa haya mambo tena kuliko hata mimi!
Nenda kaangalie theatre ebo!!halowww...wanandugu..
kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata moviez 10 bora ambazo naweka apomchini basi ussisite kuniambai kama unayo alafu unaishi dar please we niambie me nikipata nafasi ntakuja hadi mlangoni kwako kuazima...
movie 10 bora ni:
- HANGOVER 2
- HALL PASS
- BLACK DEATH
- THE ADJUSTMENT BUREAU
- BATTLE LOS ANGELS
- FAST AND FURIOUS 5
- LIMITLESS
- HOP
- SOURCES CODE
- RED RIDING HOOD.
WANDUGU JAMANI APO HAKUN HATA MOVIE MOJA YA KUKOSA KUAANGALI A WANDUGU
Vampire Diaries - Napenda character za Damon, pia series kama za AMERICAN DAD, CALIFORNICATION, SHAMELESS US nazo nzuriMi 24, Nikita, Human target, PB, Lost, FlashForwad, The V, Vampire Diaries, The Event, How I met your Mother, Are we there Yet, Legend of the Seeker.., La revancha:love::love: