Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Wasimamizi wa mirathi ya mvua wanasema mkileta fyokofyoko tena kuita watu"andazi" wataiamsha tena kulekule mnakokwenda mkapigwe tena😂😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ajabu sana,wanasema Kule wanaenda kupindua meza wakati waarabu wanakaliaga mikeka sasa meza gani hiyo.![]()
Vyura hawajafungwa kutokana na mvua ya jana bali walinyanyaswa kwa sababu hawana uwezo wa mechi za kimataifa, siku za nyuma kabla ya fainali walikuwa wanakutana na vibonde tu.Wasimamizi wa mirathi ya mvua wanasema mkileta fyokofyoko tena kuita watu"andazi" wataiamsha tena kulekule mnakokwenda mkapigwe tena😂😅
Vyura hawajafungwa kutokana na mvua ya jana bali walinyanyaswa kwa sababu hawana uwezo wa mechi za kimataifa, siku za nyuma kabla ya fainali walikuwa wanakutana na vibonde tu.