Ni mvua ya urithi iliyoachwa na aliyekuwa mwenyekiti wa Simba mzee Amir Ally Bamchawi.

Jana wajomba walisahau kile kimbunga angepeperushwa mtu
 
Mnahusudu uchawi ila nnje ya bara hili Africa ni kuchezea vichapo kila siku pamoja na upumbavu wenu bila ya kubeba kombe lolote zaidi ya maumivu tele.

Kweli kuzaliwa Bongo ni nuksi [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wasimamizi wa mirathi ya mvua wanasema mkileta fyokofyoko tena kuita watu"andazi" wataiamsha tena kulekule mnakokwenda mkapigwe tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…
Vyura hawajafungwa kutokana na mvua ya jana bali walinyanyaswa kwa sababu hawana uwezo wa mechi za kimataifa, siku za nyuma kabla ya fainali walikuwa wanakutana na vibonde tu.
 
Nakazia,kwanza waarabu kwao kunyesha mvua ni nadra sana na laiti pitch ingekuwa nzuri hakika uto wangejuta
Vyura hawajafungwa kutokana na mvua ya jana bali walinyanyaswa kwa sababu hawana uwezo wa mechi za kimataifa, siku za nyuma kabla ya fainali walikuwa wanakutana na vibonde tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ