Ni mwaka wa 6 sasa tangu nioe, lakini jinsi nilivyompata huyu mke imebaki ni kichekesho kwangu

Nilivoanza anza isoma hii story nilitaka kuipuuzia lakn aseee bonge moja la story hii story waeza iuza bongo muvi
 
Naona ulichofanya ni kizuri sana kwa wale wanaringia nafasi.
Ukizingatia ulikuwa na uhitaji wa kuoa alafu mtu mwenyewe anaringa!
Kuna ule msemo kuwa Neema huwezi kuijua kama ni neema mpaka itakapo ondoka. Ndo kilichotokea hapo inaonekana huyo binti alifikiri mzee baba ndo kwavile kafa kaoza basi atakua hana namna ,Kumbe maesabu yake yalikuwa finyu😃
 
Lugha unayotumia haitofautiani na ile ya series za kihindi. Bado ujana umeukumbatia sana.
 
Hilo pepo lako limehamia kwangu aisee, nahitaji sana kumuoa mtoto mmoja hv ila ndo anadai et mpka apate masters yake, ila tunapendana kinoma ila ndo hvo
Tena umuache haraka sana usiwe Mjinga mkuu. ukiona mwanamke anatoa kisingizia Kama hicho jua ana Bwana mwingine. hakuwa mwanamke duniani mwenye bachelor tayari agome kuolewa kisa kusoma masters. Kama hunisikii kaoe ili ushare Hiyo
papuchi na msela mavi maisha yako yote.
 
Naomba kujua kuwa huyo mkeo aliyekuwa rafiki wa mpenzi wako huwa wanawasiliana au ndo bhasi tena wapo kwe ugomvi?
 
Umseng...e sana,umepata mke mzuri ukaenda kulala na kahaba?tena pekupeku?Nyinyi ndio munao UA wake zenu.
Wewe hujaona umebahatisha mke muadilifu?hujaona tofauti ya ulivyompata yule wakwanza na huyu uliyemuoa?Tulia na mkeo mubarikiwe.
 
Umseng...e sana,umepata mke mzuri ukaenda kulala na kahaba?tena pekupeku?Nyinyi ndio munao UA wake zenu.
Wewe hujaona umebahatisha mke muadilifu?hujaona tofauti ya ulivyompata yule wakwanza na huyu uliyemuoa?Tulia na mkeo mubarikiwe.
mkuu nilimpima aisee naanzaje kumuingizia dudu bila kuconfirm afya yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…