Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote

wewe unasumbuliwa na kiburi
wewe biashara ya kuuza bangi ndio inayokufaa kijana kama wewe hata ujumbe wa serikali ya mtaa huwezi pendekezwa,Baki na kiburi chako.
Hakuna popote napotia mguu alafu nisipewe uongoz, siombag uongoz unanifuata, hii kichwa yangu sio empty box kwamba inaenda tu ilimradi inaenda, wewe kama unaona ni sawa mwanaume mtu mzima miaka 25 kupigwa na mzazi kapigwe ila kwangu nasema "alogwe mtu ajichanganye" mtoa mada simjui ila najua hakika 100 kua haya yanatokea ni shinikizo la viende kumtaka arudi kwa wazazi , watu walio mzunguka ndio wanao msumbua kuliko uhalisia wenyewe wala sio yeye

Msimamo wangu n kua the moment nimetoa mguu nyumban wasingeniona tena hadi yesu arudi , na mfano ulio hai n kua niko dsm na home ni hapa hapa dsm ila nina miaka miwil sijawah ibuka na sifikirii siku za karibun na hakuna tatizo wala
 
Msimtishe mtoa mada...kama wazazi hawataki msamaha afanyaje? Hivi nyie mlishakutana na wazazi makatili nyie? Hamuoni ni Mungu alifanya huyo mtoto afikie leo kuwa kijana huyo mama angeweza kumuua...sasa leo kisa alikuzaa ndo anapaswa kumfanyia mtoto namna ile? Kwani mtt aliomba azaliwe? Sisi wazazi tuna la kujifunza..ukilea wtt kwa upendo hawata kurudi hata siku moja...
Cha msingi aitafute amani ya moyo wake..kama moyo unamtuma au unahitaji la kuendelea kuwaomba msamaha basi afanye hivyo kama hajisikii tena moyo umekufa ganzi aachane nao...
Mungu aliemvusha kwny magumu atamfikisha pale anapotaka binadamu sio mtoa riziki....
 
Nimeshamshauri sana huko juu, kama ulivyooshauri hapa Dada. Wazazi nao ni Binadamu sio miungu. Hizo sheria na amri za Mungu tunazivunja sana na hatupotezi na tunazidi kushine watakuwa hawa Binadamu wenzetu ?
 
Baba akitaka kusamehe anakumbuka teke la mwanae...

Tatizo sio teke, tatizo ni teke kutoka viunoni mwake...

Mwombe Mungu wa Danieli alegeze hasira za baba, Mungu hashindwi...

Mafanikio uliyopata ni MTEGO, Mungu amekupa ili ujiinue uone kumbe wazazi si lolote si chochote, shinda huo MTEGO...

Mungu akusaidie.
 
Kwa hiyo Kimwamwayi umeamua kuja kutusengenya huku? Ulichitufanyia sitakaa nikusamehe! Na hiyo laana utatembea nayo mpaka kaburini!
 
Wise words mkuu, from the audit i did, there is no doubt, am giving you unmodified opinion(hati safi)😀.

And am here ready for the next and next audits🥰
 
Wise words mkuu, from the audit i did, there is no doubt, am giving you unmodified opinion(hati safi)😀.

And am here ready for the next and next audits🥰
I am happy to hear that, I wrote the pre engagement letter, have you seen it? 😍😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…