Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote


Pole Kaka
 
1. Kwanza usimle huyo dada hata akibaki naked akiwa ghetto kwako. Watoto wa kishua wakikufanyia wema haina maana kuwa wanakupenda kimapenzi. Ni malezi waliyokuwa nayo. Tena hakikisha hautumii sana chats na yeye kwenye mazungumzo yenu. Endelea kuishi kama mtoto wa babaake mdogo na hilo lijioneshe kwa mchumba wake.

2. Nna wasiwasi hao si wazazi wako ila hakuna aliyekufungulia codes. Ila hiyo haina maana kuwa usiwajali.

3. Timiliza wema wako kwao kwa kupitia third part bila ya wao kujua.

4. Wacha muda uongee.
 
Asante sana Kiongozi. Umenijenga vilivyo,. Asante kwa time yako
 
Outdated mindsets.... mzazi sio mungu! Usijitwike umungu ukiwa mzazi
 
Mm mzee wangu kajifanya mwehu wakati mimi tahira 🀣🀣🀣


Mwaka unakata huu hata simu zake hazipokelewi. kiufupi KAYAMUNYA
 
Kunywa konyagi hapo bapa zima alafu lipa mwenyewee.. maninja kama ninyi ndo dunia ya leo inawataka
 
Mm mzee wangu kajifanya mwehu wakati mimi tahira 🀣🀣🀣


Mwaka unakata huu hata simu zake hazipokelewi. kiufupi KAYAMUNYA
Kuna wazazi huwa Wana jitegeza Sana 🀣🀣 ofcourse ni watu special ila baadhi yao wanataka kutumia huo u-special kutaka kupelekesha puta watoto wao

Sasa Moja ya dawa yao ni Hicho ulicho kifanya 🀣🀣🀣
 
Kuna wazazi huwa Wana jitegeza Sana 🀣🀣 ofcourse ni watu special ila baadhi yao wanataka kutumia huo u-special kutaka kupelekesha puta watoto wao

Sasa Moja ya dawa yao ni Hicho ulicho kifanya 🀣🀣🀣
Sio special mkuu, mzazi usijipe u special kama mgonjwa. Umungu au ujinga ukiamini mzazi hakosei, mzazi hakosolewi. Mzazi sio mungu, ukihitaji kushangazwa unashanganzwa mchana kweupe ukafie mbele
 
Haruuu!
Niulize tu wewe ni jamaa wa Musoma?
Maana huyo mama kwa kutembeza kipigo, na wewe kumrukia mzee Tai Kwondo nimecheka sana!

 
Sio special mkuu, mzazi usijipe u special kama mgonjwa. Umungu au ujinga ukiamini mzazi hakosei, mzazi hakosolewi. Mzazi sio mungu, ukihitaji kushangazwa unashanganzwa mchana kweupe ukafie mbele
🀣🀣🀣🀣 Mzazi ni special but hapaswi kujivika ufalme nakutaka kuabudiwa hapaswi kujifanyia kuwa hakosei wakati nayeye ni mtu wa kawaida
 
🀣🀣🀣🀣 Mzazi ni special but hapaswi kujivika ufalme nakutaka kuabudiwa hapaswi kujifanyia kuwa hakosei wakati nayeye ni mtu wa kawaida
Why special? Waafrika wacheni ujinga umetutawala sana. Kama unategemea kuzaa ili uwe special miaka 20 mbele mwanao anakushangaza alafu poa tu.

Maisha ya modern world sio hayo! We subir miaka hii utaona migogoro mingj sna ya wazaz na watoto. Hapo ukale na usasa vinachuana
 
Mimi mawazo yangu na wewe hayaja tofautiana umuhimu wake kwako upo ktk malezi ya ukuaji wako kama alikuwa anakupa fresh treatment basi hapo umuhimu lazima uwepo , But hapaswi kujiona sasa kama Mungu mtu Kwako anapaswa kujua kuwa yeye ni mtu tu wakawaida na ana mapungufu yake kama Ilivyo Kwa watu wengine
 
Ile ni wajibu. Kwani hata angekuua angemkomoa nani? Angekutupa usingekuwa ulipo?

Hatuwez kujaji mambo kwa kuangalia wajibu wa mtu. Ukijitia chizi hata kama ukiwa mungu mtu watu wanakusweka alafu wanabakia na mungu mwenyezi. Mzaz timing wajibu wako! Umezaa lea, ukiona mpaka kulea kwako kazi bas mtupe mtoto kagegedane tena mana ndo vitu vilivyo ndan ya uwezo. Wzazi wa wanaobeba tabia za kihuni huni wanashangazwa mchana kweupe. Changes should define new ways
 
Keshajitenga nao kwa miaka 3 ni muda mrefu sana, ulifanya kosa kubwa sana kuwapiga wazazi wako tena wote wawili nadhani waliumia sana mioyoni mwao kuwa huu ujasiri wa mtoto kumpiga mzazi umeupata wapi.
Ukisoma kitabu cha mwanzo sura ya 9:20-28 imeandikwa Nuhu alilima zabibu akanywa divai akalewa akakaa uchi kwa sababu ya ulevi wake, Hamu mwanaye akauona uchi wa baba yake na akalaaniwa kwa kitendo hicho na laana ikampata japo baba yake ndiye aliyekunywa pombe. Ina maana hata kama wazazi ndiyo walikuwa na kosa hukupaswa kupigana nao.
Anyway, tafuta kiongozi wako mmoja wa kiroho akuongoze ufanye sala ya toba na kuomba msamaha mbele ya Mungu na mbele ya wazazi wako ninaamini mioyo yao itafunguka. Lazima utafute suluhu wakati bado wapo hai vinginevyo hata huyo dada anayekusaidia unaweza kuona ghafla uhusiano umevunjika
 
Ofcourse ule Ni wajibu kwakua yeye Ndiye aliyekuleta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…