Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote

Huyo binti hujamuoa?
 
Wanawake bhana nahii nisababu yawao kutuua mapema kisaikolojia, fanya mpango pia ukachek DNA.....zingatia: "kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu"
 
Pole sana mtoa mada, Naamini mungu atakusaidia atarekebisha makosa yaliyotokea, ila tu ni kwamba baadhi tumepitia situation yenye kufanana , binafsi Wazee wangu walitengana tukiwa bado wadogo hivo upande wa baba ndio tulipolelewa ila ilifika mahala mzee alitulea malezi ambayo kidogo yanahitaji moyo mgumu ilitufanya tumuogope mzazi kama simba, akija unakosa amani vichapo vya hapa na pale hata kama huna kosa kutakanwa, kukaripiwa, kuna kipindi Ilibidi nitoroke tu home baada ya watu kunichonganisha kwa mzee apo nina 20 years na ndio nimemaliza form six, mzee aliwaka anawaambia watu hataki kuniona, mara kuniua kabisa,wala sitakiwi kurudi apo home alisema mengi kutokanana na hasira, uzuri now nishamaliza chuo kikuu na ni wasamaria wema na( HSLB)walinipa sapoti nkamilza chuo hadi kazi nkatafutiwa now god bless maisha yanasonga, Sasa almost 6 years zimepita hanitafuti wala hataki habari zangu, hivo nategemea kuwatuma wazee wa busara waniombee msamaha japo roho inaniuma nkikumbuka zile hasira zake maana ana kisasi mbaya lazima uogope asije kunifanyia mambo mabaya. ALL IN ALL Ni kumshukuru Mungu tu Maana hakuna mbadala wa Mzazi.
 
Wazazi wataua na changamoto ya afya ya akili.
 
We unajuaje km demu Hana hisia na mwana?
Swala la huruma litoe kwanza cz jamaa haitaji huruma y Bint ukizingatia nae anauhuru wa kutafuta mwenza.

Tatizo huja km huyo dada kafanya yote hayo kwaajir y hisia zake z Mapenzi kwa mshkaji, unahc jamaa anaweza chomoka huo mtego?
 
Tatizo huja km huyo dada kafanya yote hayo kwa sababu anahisia z Mapenzi kwa mwana,

Je, unahc jamaa anaweza chomoka huo mtego?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…