Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote

Jitahidi kufanya suluhu na wazazi wako. Huwezi kuinua mkono wako kumtandika mama na baba, ni vibaya.

Ongea na viongozi wa dini wakusaidie.

Hayo unayoyaona pengine ni upande mmoja then utaona pia upande wa pili.
 
Naunga mkono hoja.
Na asipoangalia inaweza kuja kujirudia kwake kwa kizazi chake.

Mzazi hata akuudhi vipi ,hupaswi kunyanyua mkono wako kwake ni makosa makubwa Sana.

Pambana mwamba upate amani ya wazazi kabla hawajaondoka wakuridhie .....nashauri pitia kiongozi wa dini ambako huwa wanasali.....huwa Wana busara Sana ...litakaa vyema tu usiwaze mzee.
 
Rudi nyumbani kaombe msamaha kwa wazazi Acha kulia lia mtandaomi. Usishindane na jiwe wakati wewe ni Nazi itapasuka mwisho wake
 
Pole dogo. Wazazi wako hasahasa wa kiume ndio wanakupatia baraka. Ukikosa hizo baraka huko mbele ni lazima utapata shida. Komboa familia yako kupitia neno na uwapende hivyohivyo hata kama wamekuudhi, wapigie simu kila wiki kama wako mbali au watembelee kila wiki kama wako karibu huku ukipeleka mahitaji watabadilika tu maana utakuwa tofauti ukiwa mwana maombi. Soma Efe 4:31
 
Kwanza tafuta amani na wazazi,nenda kwa kiongozi wao wa kidini,au kiongozi wa ukoo,Mila nk.
Waombe wakuombee msamaha na kukuunganisha nao,unaweza takiwa kufanya baadhi ya Mambo au kulipa faini nk,kuwa tayari kutii hayo masharti.
Ni vyema ukajitahidi mapema,wakiondoka utajilaumu Sana.
Huyo dada mheshimu km dada na rafiki
 
Kuna mtu atasema mama yako ana “mental health” hiyo ni lame excuse I've come to learn there is a way to distinguish bad people from mentally ill people,mtu mbaya haijalishi ni Mama yako au bibi yako sio wa kutafuta suluhu nae ,she will break you muda wowote akipata chance..

Kama alio kufanyia hajawahi kuona kosa lake Wala kujaribu kuomba msamaha she's EVIL .

People are quick to malign the mentally ill; the violent adult attacking a child or hate is malevolent, not mentally ill

God has a VERY SPECIAL place in HELL for parents who abuse their children
 
Mkuu ulitaka kurithishwa uchawi ukakataa wewe au walitaka kukula nyama ila una Nguvu kiroho ndio mana ulikuwa unachikiwa Sana Na mama ako.

Sikia fanya ufunge walau siku 7 ya maombi na uwende ukawaone wazazi wako. Lakini usibebe kitu chochote kama zawadi kwao.

Onyo Kwa huyo binti kaka kumbuka Samson alimalizwa Nguvu Na binti Sasa utakuja kuwa samsoni muda sio mrefu na kumbuka usije ukawekewa ule wimbo wa..

Jaiva huyo mototooo
MOTOTO KAUTAKA
 
Pole sana mkuu. Mama yako km wangu. Yani alinitesa na kunipiga km nyoka, matusi ndio usiseme.
Sikuwahi kumpenda na sio kwa ubaya alipokufa nilipata nafuu sana kiakili na kihisia.
 
Wasiliana na Azam Tz wawaandalie pambano la vitasa muingie ulingoni kupigana kwa malipo liwe bifu la faida
 
Nakubaliana nawewe na asipo malizana na wazazi wake hata yeye atakuja pigwa na watoto wake hii Haina mjadala na afatilie huenda hata mzee wake amewahi wapiga wazee wake pia.

Afanye juu chini Wala asisubiri eti hasira zitaisha tu Kuna siku isiyo na jina Israel mtoa roho akapita na baba ama mama yake. Hapo Sasa ndo atajua hajui.

Katika Hali zozote mzazi hapigwi. Pia kisa chake Cha mwanzo kama nikweli mama yake alikuwa mgonjwa. Na vile alijua tangia akiwa mdogo Hadi chuo alipaswa kusoma nyakati na majira.


Kuhusu yule binti si shauri amle! Iwapo akiutaka mwenyew amwambie yote mema aliyo mfanyia yule Binti na namna anavyo muona kama malaika kwakwe. Sasa kama anaweza mdindishia malaika wa Mungu basi hayo maombi yalikuwa na uwalakini mkubwa.


Nimemaliza.
 
Mkuu FORTUNE JR siku zote mambo mazuri huja baada ya kupitia changamoto, tabu, shida na mambo magumu but remember
Your parents are a test for you and you’re a test for them. Accept that. Coping with difficult parents isn’t easy. They’re also human, flawed & weak just like everyone. You need to accept them for who they are. You can’t change them. The only person you can change is yourself.‬

Au sio Auditor wangu financial services ?
 
Yaani ni hatari sana, Mungu anaweza kukuletea mtu wa kawaida kumbe ndo malaika huyo.
 
Sometimes Ndugu hawana mchango wowote kwenye maisha ya mtu husika

Be right back
Ila mkuu kauli iliyopo hapo ni kwamba USIMWAMINI MTU basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…