ni mwalimu anataka achome meli moto lakini ....

ni mwalimu anataka achome meli moto lakini ....

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
931
Reaction score
612
amani
iwe nanyi ndugu zangu,namleta kwenu kijana mwingine wa miaka 24 yeye ni
mwl. wa s/m mwl.huyu anatamani kuingia kwny ujasiriamali kutokana na
kipato kidogo,mazingira magumu na adha kibao zilizopo kwenye kazi
husika.

Mtaji anao wa kutosha pia analo wazo la biashara na mahali pa kufanyia
biashara hyo amepapata

Jamaa anasua kuacha kazi kutokana kila anapo fikiria namna wanafunzi na
wajamii wanavyo mpenda,mwamini na jinsi alivyo kuwa muhimu kwa elimu ya
wanafunzi hao walio toka ktk jamii maskini roho inamuuma sana ingawa
yeye mwenyewe hajui nini future yake kutokana na kipato kidogo
anachokipata, maoni yako tafadhali.
 
amani iwe nanyi ndugu zangu,namleta kwenu kijana mwingine wa miaka 24 yeye ni mwl. wa s/m mwl.huyu anatamani kuingia kwny ujasiriamali kutokana na kipato kidogo,mazingira magumu na adha kibao zilizopo kwenye kazi husika.

Mtaji anao wa kutosha pia analo wazo la biashara na mahali pa kufanyia biashara hyo amepapata

Jamaa anasua kuacha kazi kutokana kila anapo fikiria namna wanafunzi na wajamii wanavyo mpenda,mwamini na jinsi alivyo kuwa muhimu kwa elimu ya wanafunzi hao walio toka ktk jamii maskini roho inamuuma sana ingawa yeye mwenyewe hajui nini future yake kutokana na kipato kidogo anachokipata.

Mzizimkavu,chasha,kubota,mama joe na wengine mmeona mgogoro wa nafsi huo?maoni tafadhali.

Kwahiyo akina
Code:
Mzizimkavu
ndio wanatakiwa kuchangia
 
Kwahiyo
akina
Code:
Mzizimkavu
ndio wanatakiwa kuchangia

Kwahiyo akina
Code:
Mzizimkavu
ndio
wanatakiwa kuchangia

I'm sorry for that MAndown sikuwa na maana hyo ndo maana nikaandika
mzizimkavu,chasha,mama joe, kubota na wengine hata
wewe ruksa kuchangia tena nakukaribisha kwa moyo wangu wote na
inawezekana mchango wako ukawa nibora kuliko hata hao nilio wataja.
 
Wakubwa heshima zenu , na wadogo marhaba.

Unajua huwezi kuwa Bepari "Capitalist" na muda huo huo ukawa mjamaa" Socialist" . Kutaka kuanzisha biashara ni ubepari mzuri tuu kwa kutaka kujilimbikizia mali na kufaidi maisha kwa vitu vizuri kuliko wengine, na Kuwaonea huruma wanafunzi na kuona unamchango mkubwa kwa jamii na nguvu kazi yako inahitajika sana kwa maeneleo ya umma Huu ndio Ujamaa mzuri pia. Kikubwa ndugu yangu Vitu hivi HAVIWEZI kwenda sambamba kwa wakati mmoja. Anatakiwa achague moja kati ya hayo. Kutumia Mtaji kuwanyonya wengine ili ale bata au aishi maskini kwa kuihudumia jamii ya kitanzania.

Nawasilisha.
 
Mkuu swala la Kuchoma Meli moto si swala la Kitoto hata Kidogo, na kama huyo mwalimu nawawazia Wanafunzi basi,ni bora aendelee kufundisha,

Mkuu hili swala linahitaji Uamuzi wa Mtu binafisi na ni lazima uwe na spirit kali sana kuweza kufanya hivyo, So swala la Kuchoma Meli moto halihitaji kusita sita hata kidogo,

KUCHOMA MELI MOTO NI SAWA SAWA NA ILE STORY YA WAKATI SODOMA, Mungu alimwambia Ruthu na Familia yake wasitazame nyuma kamwe wakati wanaondoka Sodoma na Gomora, Unajua ni kwa nini? Ule Mji ulikuwa na anasa Nyingi sana, starehe za kila aina so Ruthu na Familia yake hawakuwa tiyali kuziaona zikiteketea, Na Mke wake uvumilivu ulimshinda akatazama nyuma na kugeuka Nguzo ya chunvi,

KUCHOMA MELI MOTO
Hii inamaanisha kufuta/ Kuondoa njia zote zitakazo kufanya ushindwe kuendela na safari yako, ni kufuta Kumbukumbu zote, ni kuwa tiyali kuona Familia yako ikishindia some time Uji, familia ikila milo miwlia badala ya mitatu minne walio zoea,

So huyo Mwalima kama Anaona huruma kwa wanafunzi basi aendelee na kazi ya Kufundisha, make hili swala la kuchoma Meli moto si swala la Mzaha hata kidogo, Ni swala La Kufa au Kupona,

KUCHOMA MELI MOTO unakuwa umebakiwa na Optional Mbili Pekee, Kushinda katika Vita ya Biashara au Kufeli, Ila optional nyingine zote zinakuwa hazipo,
 
Na kama vipi mtafutie humu ile story ya MUGUKU yule Mwalimu wa Kenya, ambaye alimua kuacha Ualimu na Bosi wake akamshangaa sana, na kufika Nyumbani Wazazi wake kusikia Kijana wao amecha kazi hawakuamini na wakazania kijana wao atakua Amepta tatizo la Mtindio wa Ubongo,

Ila Muguku katika mahojiaona yaliyo fanywa kwa niaba yake na Mke wake, ni kwamba Asingekuwa pale alipo kama angeendelea na kazi ya Ualimu
 
Tukumbuke ualimu ni wito.huyo mwalimu ni mwalimu kwa wito si kwamba alifuata salari.ila sasa anataka maendeleo makubwa kupitia biashara.anaweza akafanya vyote kwa pamoja Kama ataweza kuwa amini watu wengine.akafungua biashara zake huku bado ni ticha akitoka shule anapita kukagua maendeleo na kutoa maelekezo kwa watu aliowaweka.siku hii hakuna afanyae kazi moja akakidhi mahitaji yake yote.
 
Mpe pole yake, ila kitu kimoja inabidi ajifunze usiwe mnafiki, kama huna raha na kazi unayofanya using'ang'anie hapo huku rohoni unaumia, kuwa mkweli kwa hao wazazi na watoto kwamba maisha yako ni magumu na itafika kipindi itabidi uache ili kutafuta maslahi hii itawaandaa kisaikolojia kuhusu kuondoka kwako na wala hutalaumiwa, pili waeleze kuwa hata ukiacha utakuwa unawasaidia kwa kuja kuwafundisha kwa kujitolea ukipata muda hapo shuleni au nyumbani kwako. Biashara ni hobby pia unaweza angalia uwezekano wa wewe kufungua tuition centre ili usijione umewatupa na ukafundisha kwa bei nafuu au hat bure kwa wale wasio na uwezo.
Ktk maisha yangu ya kuajiriwa nimepitia waajiri wanne, kuna kipindi mwaajiri wa tatu alikuwa hana funds za kunipa contract ya muda mrefu na yenye maslahi, nikipata kwingine wananibembeleza nami nawaonea huruma ninabaki hapo maana nilikuwa ninafanya consultancy na partners wengine same office niliendelea hivyo kwa miaka 2 nikaona mmmm. Nilipopata nyingine sikusubiri ushauri tena ilibidi niondoke kwa ahadi kila mara niende kuwasaidia baadhi ya kazi kwa muda wangu wa ziada, Sasa hivi nipo free muda wangu wa ziada nafanyia ujasiriamali na nimepanga baada ya mwaka mmoja itakuwa vice versa; ndo maana kuna thread niliandika kuacha kazi inahitaji mchakato maana kufanya kazi muda mrefu sio tu kipato bali mazoea. Aanze taratibu then anaacha moja kwa moja.
amani
iwe nanyi ndugu zangu,namleta kwenu kijana mwingine wa miaka 24 yeye ni
mwl. wa s/m mwl.huyu anatamani kuingia kwny ujasiriamali kutokana na
kipato kidogo,mazingira magumu na adha kibao zilizopo kwenye kazi
husika.

Mtaji anao wa kutosha pia analo wazo la biashara na mahali pa kufanyia
biashara hyo amepapata

Jamaa anasua kuacha kazi kutokana kila anapo fikiria namna wanafunzi na
wajamii wanavyo mpenda,mwamini na jinsi alivyo kuwa muhimu kwa elimu ya
wanafunzi hao walio toka ktk jamii maskini roho inamuuma sana ingawa
yeye mwenyewe hajui nini future yake kutokana na kipato kidogo
anachokipata, maoni yako tafadhali.
 
Mara Nyingi Ili Ufanikiwe unatakiwa uwe full time katika Biashara yako kwa sababu wewe ndo initiators wa Idea na wewe ndo unaye jua Idea yako iende Vipi, Si Mke wala mme, wala Mjomba wala shemeji wala Wafanyakazi anaye weza kuendesha Biashara yako kama wewe unavyo taka,

Watu wengi biashara setu zimedumaa kwa sababu ya kuongoza kwa Limot control, uko ofisini unapiga simu kuulizia kama Kuku wamepewa Chakula, kwa staili hii hutafika pipote na hutaweza kushindana, na hii itakuwa ni substance byusiness, Business for Survive,

Ila real kama unataka kuwa Mjasirimali wa ukweli ni Lazima uwe full time katika Biashara yako na mawazo yako yote na akili iwe katika biashara zako, kama ni Hoteli inatakiwa uwepo pale na some time uwahudunmie wateja na hata kupika ikibidi hapo ndo utajua triend ya biashara yako, lakini mambo ya kuongoza kwa Limoti ni mabaya sana, Wanao simamia biashara yako hawawezi kuwa na Uchungu na hawezi kuwaza kama wewe unavyo waza, Changa moto za kila siki ndo hukufanya uje na mbinu mpya za kukuza biashara yako,

So ishu Ya KUCHOMA MELI MOTO HAIHITAJI KUSITASITA, ni ishu ya Kuchukua Kibeliti na kuwasha moto full stop
 
Haaaaaaaaahaaaa Chasha we mkali kuna wengine pengine hata hajaanza kuifanya hiyo biashara kutokana na kuwa full time teacher. Ukimwambia aende kichwa kichwa na akutane na kukatishwa tamaa hata kidogo tu unaweza ukute ajutie uamuzi wake na asirudi tena kwenye biashara ndo maana namshauri walau aende kwenye kitu ambacho ni hobby yake pia hata akikosa kipato kizuri bado ataifurahia hiyo biashara, Lakini kama sio hobby yake kusitasita kunakuwa kwingi kwasababu huna interest na unachochofanya. Ila ni kweli hii remote control ya bizness inatuharibia sana yaani hukui kibiashara wafanyakazi yaani hawana ile spirit uliyo nayo wewe sijui kwanini? Yaani ingekuwa tunajikita kama anavyoelezea Kubota na kuku wake mbona tungekuwa mbali. Zaidi ya kuchukua leave siku chache walau kuokoa jahazi yaani siku zingine ni frustration ukiangalia yanayoendelea au unayoshindwa kuyaanzisha ktk biashara, kweli full time ndio suluhisho pekee kama unataka kufanikiwa.
 
No si kuingia Kichwa kichwa, Muguku wakati anaacha Kazi ya Ualimu si kwamba alikuwa amenza kufuga no ila ndo alikuwa na huo mpango, sasa kama utaacha theni uingea kwenye bishara then ujutie hapo haitakuwa ujasilimali bali kitu kingine,

Dhana ya Kuchoma Melo moto ni kwamba kwa vyo vyote vile hutarudi nyuma kamwe, na thati is why kufeli kupo na kufeli hakuwezi kuwa sababu ya kujutia maamuzi yako, Wagiriki walivyo kuwa wakichoma meli zao walikuwa wanatambua fika kwamba hawana optional hata Moja, isipo kuwa kupigana na kushinda au Kuuwawa.

Ukiingia kwenye biashara na mawazo ya kufeli ni lazima ufeli tu make ndo kitu anacho ota usiku na mchana, Kuchoma meli moto kuna maanisha unapoingia kwenye biashara huta kuwa na altenative bali kupambana na kufanikiwa, hakutakuwa na cha mjomba wala cha nani utakuwa wewe kama wewe so kw vyoyote vile ni lazima upambane kwa nguvu zote na kwa akili zote ufanikiwe, na kufanikiwa hakuwezi kuwa kwa ndani ya wiki au mwezi, unaweza hata kukuchukua 10 years na kuendelea
 
amani
iwe nanyi ndugu zangu,namleta kwenu kijana mwingine wa miaka 24 yeye ni
mwl. wa s/m mwl.huyu anatamani kuingia kwny ujasiriamali kutokana na
kipato kidogo,mazingira magumu na adha kibao zilizopo kwenye kazi
husika.

Mtaji anao wa kutosha pia analo wazo la biashara na mahali pa kufanyia
biashara hyo amepapata

Jamaa anasua kuacha kazi kutokana kila anapo fikiria namna wanafunzi na
wajamii wanavyo mpenda,mwamini na jinsi alivyo kuwa muhimu kwa elimu ya
wanafunzi hao walio toka ktk jamii maskini roho inamuuma sana ingawa
yeye mwenyewe hajui nini future yake kutokana na kipato kidogo
anachokipata, maoni yako tafadhali.

Ukotoka kuua nyani usimuangalie usoni
 
Back
Top Bottom