johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unaweza usielewe sasa Lakini Tundu Lisu anaondolewa Chadema Ili asiweze kuzuia biashara ya KITI Cha mgombea Urais kama alivyofanya 2020 kuzuia bilionea Nyalandu
Je, ni mwanaccm gani huyo anayesubiriwa Chadema ikidaiwa ana Baraka za nchi mbalimbali duniani
RA ataruhusu mwanaccm mwingine apingane na Rais Samia katikati ya Mihula?
Ngoja tuone
Nawatakia Dominica ya Kwanza 2025 yenye Baraka 🌹