Ni mwanadada mwenye mvuto. Haya ni yakweli?

Djunior

Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
45
Reaction score
1
Kuna tetesi kuwa huyu mwanadada anaekwenda kwa jina la Rehema Chalamila aka Rey C, amecheza movie ya X Nchini Kenya, je wanajamii tetesi hizi ni za kweli.
Naomba kuwasilisha tetesi hii kwenu.
 
Kuna tetesi kuwa huyu mwanadada anaekwenda kwa jina la Rehema Chalamila aka Rey C, amecheza movie ya X Nchini Kenya, je wanajamii tetesi hizi ni za kweli, na inafahamika kwa jina gani.
Naomba kuwasilisha tetesi hii kwenu.
 
Kuna tetesi kuwa huyu mwanadada anaekwenda kwa jina la Rehema Chalamila aka Rey C, amecheza movie ya X Nchini Kenya, je wanajamii tetesi hizi ni za kweli.
Naomba kuwasilisha tetesi hii kwenu.

Ulipopata tetesi hizi wakupe picha husika....!
 
Kuna tetesi kuwa huyu mwanadada anaekwenda kwa jina la Rehema Chalamila aka Rey C, amecheza movie ya X Nchini Kenya, je wanajamii tetesi hizi ni za kweli.
Naomba kuwasilisha tetesi hii kwenu.

Usiishi kwa tetesi ishi kwa uhakika
 
Ulikuwa unataka na wewe ucheze naye nyingine?
 
akicheza ama asicheze ina maslahi kwako?
inaharibu vp maisha ya watanzania?
mbona kila mtu anacheza movie za ex usiku na haiwi issue?
haa sidhan km kuna la msing kumjadili mtu na maisha yake cz km ni vifaa ni vyake na raha ni zake so nthng iz ya bznes wth t...potezea
au km vp mpigie cm umwulize....
wew aujawai cheza x???????????
 
swala sio kumjadili mtu,nadhani kama kitu hakikubaliki katika jamii sio tatizo kwa watu kuuliza kama wamesikia, je tunaposikia mabaya au mazuri tushindwe kuuliza??
Tufikie wakati tujue kuwa mambo yasiyokubalika katika jamii ni jukumu letu sote kuyakemee,kama wewe huyakemei na unasema ooh eti ni msilahi yako? Ni nani atakaye isimamia jamii yetu? au mnataka raisi ndio asimamie? kila kitu watanzania ni kulaumu wakati mamabo mengine yalipaswa kufanya na wewe mwenyewe wala sio viongozi kwa kila kitu, sawa leo mnasema kuwa hayakuhusu then kesho mnaanda kulaumu ooh eti viongozi sijui nini.
 
Kuna tetesi kuwa huyu mwanadada anaekwenda kwa jina la Rehema Chalamila aka Rey C, amecheza movie ya X Nchini Kenya, je wanajamii tetesi hizi ni za kweli.
Naomba kuwasilisha tetesi hii kwenu.

Source Pliiiiiiiiiiiiz
 
Huyu hana kazi ya kufanya, akishajua so what? fanya kazi acha majungu
 
akicheza ama asicheze ina maslahi kwako?
inaharibu vp maisha ya watanzania?
mbona kila mtu anacheza movie za ex usiku na haiwi issue?
haa sidhan km kuna la msing kumjadili mtu na maisha yake cz km ni vifaa ni vyake na raha ni zake so nthng iz ya bznes wth t...potezea
au km vp mpigie cm umwulize....
wew aujawai cheza x???????????
Sasa Rose njoo basi hapa kwangu tucheze X mwaya kwa raha zetu.
 
Mmh! kama ni kweli hiyo ni mbaya sana!kuna njia nyingi za kujipatia kipato si lazima kujidhalilisha kiivyo.
 
akicheza ama asicheze ina maslahi kwako?
inaharibu vp maisha ya watanzania?
mbona kila mtu anacheza movie za ex usiku na haiwi issue?
haa sidhan km kuna la msing kumjadili mtu na maisha yake cz km ni vifaa ni vyake na raha ni zake so nthng iz ya bznes wth t...potezea
au km vp mpigie cm umwulize....
wew aujawai cheza x???????????

hahahahahaa Rose we kiboko duh!:A S 13:
 
Kuna tetesi kuwa huyu mwanadada anaekwenda kwa jina la Rehema Chalamila aka Rey C, amecheza movie ya X Nchini Kenya, je wanajamii tetesi hizi ni za kweli.
Naomba kuwasilisha tetesi hii kwenu.

kwani wewe hujawahi?!.kwahiyo unataka kujifunzia kwake?. Tujulishe nia yako.
 
Mmh! kama ni kweli hiyo ni mbaya sana!kuna njia nyingi za kujipatia kipato si lazima kujidhalilisha kiivyo.

una uhakika amefanya?,unauhakika alifanya ili aongeze kipato?. Unauhakika hana njia nyingine ya kuongeza kipato?. How genuine/ethical r u r means of income generation!
 
swala sio kumjadili mtu,nadhani kama kitu hakikubaliki katika jamii sio tatizo kwa watu kuuliza kama wamesikia, je tunaposikia mabaya au mazuri tushindwe kuuliza??
Tufikie wakati tujue kuwa mambo yasiyokubalika katika jamii ni jukumu letu sote kuyakemee,kama wewe huyakemei na unasema ooh eti ni msilahi yako? Ni nani atakaye isimamia jamii yetu? au mnataka raisi ndio asimamie? kila kitu watanzania ni kulaumu wakati mamabo mengine yalipaswa kufanya na wewe mwenyewe wala sio viongozi kwa kila kitu, sawa leo mnasema kuwa hayakuhusu then kesho mnaanda kulaumu ooh eti viongozi sijui nini.
si kwamba nalinda aya yasiyo kubalika ktk jamii ..topic imeuliza ..je ni kweli..sasa ktk ili hakuna mwenye uhakika na ukweli wa tetesi izi zaid ya yeye mwenyewe so ni vyema na haki km akimwuliza mwenyewe
tendo km ili la kucheza utupu movie si jema bt picha km izi zpo mitaani au hazimo? zmeharibu wanajamii ?zmeingiaje nchn?znaonyeshwa wap mara nyng hasa hasa kwa teenegers?znauzwaje?
NILIMAANISHA AMWULIZE MUHUSIKA na km steps za kumuonya au kumwambia alichotenda si vyema kwa jamii ya watanzania ingefatwa.. asante sana ndg
 
Ukipata tetesi zifanyie kazi na utupe kitu cha ukweli na picha zake. hatuishi kwa tetesi
 
Back
Top Bottom