Ni mwanafunzi gani ambaye ulisoma naye shule moja ambaye hutakuja kumsahau kutokana na vituko au ukorofi aliokuwa nao

Ni mwanafunzi gani ambaye ulisoma naye shule moja ambaye hutakuja kumsahau kutokana na vituko au ukorofi aliokuwa nao

Maulaga59

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
2,984
Reaction score
2,971
Haya jamani, tujikumbushe kila mmoja wetu, mwanafunzi aliyesoma naye ambaye kwa ukorofi, vituko na kadhalika hutakuja kumsahau, ambaye hata walimu na jumuiya nzima ya shule walimnyoshea mikono kwa usugu wake lakini darasani alikuwa kipanga!
 
Vladimir_Putin_17-11-2021_(cropped).jpg
 
Mimi hapa wengi hawatonisahau
 
Back
Top Bottom