Maulaga59 JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 2,984 Reaction score 2,971 Oct 10, 2022 #1 Haya jamani, tujikumbushe kila mmoja wetu, mwanafunzi aliyesoma naye ambaye kwa ukorofi, vituko na kadhalika hutakuja kumsahau, ambaye hata walimu na jumuiya nzima ya shule walimnyoshea mikono kwa usugu wake lakini darasani alikuwa kipanga!
Haya jamani, tujikumbushe kila mmoja wetu, mwanafunzi aliyesoma naye ambaye kwa ukorofi, vituko na kadhalika hutakuja kumsahau, ambaye hata walimu na jumuiya nzima ya shule walimnyoshea mikono kwa usugu wake lakini darasani alikuwa kipanga!
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 Oct 10, 2022 #2
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Oct 10, 2022 #3 Mimi hapa wengi hawatonisahau