Ni mwanamke au mwanaume?

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Eti kati ya mwanamke na mwanaume walio ndani ya ndoa ni yupi akiwa na mpenzi nje ya ndoa (hawara) huwa anakuwa na dharau sana ndani ya nyumba na kwanini??????????
 
Sina uhakika sana ila naona mara nyingi mdada huwa na dharau
 
duuuuuuuuuuuu!!! haluuuuuuuuuu mdada ni nouma!!yani sina hata hamu LOL!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…